Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 851
- 1,406
kanisa ni dola isiyoshikika!
Watawala wakisifiwa hua haionekani kua ni siasa!!!.Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Si ungeenda kwa mzee wa upako?Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
iwe kibwagizo or whatever ieleweke kanisani watu wa vyama vyote na wasio na vyama ambao ndio wengi huenda na wanapoenda hawafuati vibwagizo vya kisiasa wanakotoka majumbani kwao wamevipata vya kutosha hadi kuboa wanataka vitu tofauti nje ya siasa inaudhi sana.YEHODAYA hivyo ni vibwagizo tu katika ujumbe sio ujumbe wa ibada, endelea tu kwenda church
Askofu Shao aliwahi kumsifia Magufuli hadi kumfananisha na Rais wa Zimbabwe aliyeondoka madarakani Robert Mugabe
Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!
Lakini kwenye leo kwenye ibada ya Krismas iliyofanyika leo Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Augustino Shao amesema ipo haja kwa serikali kuelewa dhana ya demokrasia kutokana na mchango wake katika maendeleo ya taifa
Amesema mizengwe iliyofanyika kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani huko bara ni ishara kuwa serikali haielewi maana ya demokrasia, yaani kutofautiana
Pia amekemea watu wanaoiibia serikali na kusema hiyo ni dhambi kubwa
View attachment 658971
Yale yale he is a political fanatic and political garbageSi ungeenda kwa mzee wa upako?
Kazi moja wapo ya maaskofu ni kukemea maovu ya serikali ya magufuli.Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Ukweli haujawahi kuwa mtamu.Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
We kaa hapo hapo. Sijui Pengo kasemaje?Safi sana
Nimewahi siti za watu wakija wenyewe nitatoka.
Askofu Shao aliwahi kumsifia Magufuli hadi kumfananisha na Rais wa Zimbabwe aliyeondoka madarakani Robert Mugabe
Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!
Lakini kwenye leo kwenye ibada ya Krismas iliyofanyika leo Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Augustino Shao amesema ipo haja kwa serikali kuelewa dhana ya demokrasia kutokana na mchango wake katika maendeleo ya taifa
Amesema mizengwe iliyofanyika kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani huko bara ni ishara kuwa serikali haielewi maana ya demokrasia, yaani kutofautiana
Pia amekemea watu wanaoiibia serikali na kusema hiyo ni dhambi kubwa
View attachment 658971
Siasa ipo kila mahali chief.iwe kibwagizo or whatever ieleweke kanisani watu wa vyama vyote na wasio na vyama ambao ndio wengi huenda na wanapoenda hawafuati vibwagizo vya kisiasa wanakotoka majumbani kwao wamevipata vya kutosha hadi kuboa wanataka vitu tofauti nje ya siasa inaudhi sana.
Askofu mzima hajui jinsi ya kukosoa muumini wa kanisa lisilo lake? Alitakiwa awasilishe malalamiko kwa Askofu pengo halafu pengo angempa feedback baada ya kuongea na muumini wake.Hivi hawa maaskofu woropokaji wasiojua protocol walipataje uaskofu kanisani kuna rushwa.hawa maaskofu nawaomba waombe wapewe semina na Kanisa LA Tanzania Assemblies of God yaani TAG wako vizuri kwenye mambo ya protocol za kikanisa.Katoliki,Lutheran, akina kakobe,Gwajima na maaskofu wote waropokaji washinikizwe kuhudhuria hata kwa viboko na makanisa yao hiyo semina.Kama hela za kuattend hawana naomba TAG idhamini bure tafadhalihilo ni tamko la misa ya kitaifa kutoka baraza la maaskofu katoliki Tanzania kama sikosei ukweli lazima usemwe na watu wote wenye mapenzi mema na tanzania na siyo kumuhadaa kwa kumuita mzalendo
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Mbona wakisifia hulalamiki wanafanya siasa makanisani!?!?Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Askofu mzima hajui jinsi ya kukosoa muumini wa kanisa lisilo lake? Alitakiwa awasilishe malalamiko kwa Askofu pengo halafu pengo angempa feedback baada ya kuongea na muumini wake.Hivi hawara maaskofu woropokaji wasiojua protocol walipataje uaskofu kanisani kuna rushwa.hawawa masskofu nawaomba waombe wapewe semina na Kanisa LA Tanzania Assemblies of God yaani TAG wako vizuri kwenye mambo ya protocol za kikanisa.Katoliki,Lutheran, akina kakobe,Gwajima na maaskofu wote waropokaji washinikizwe kuhudhuria hata kwa viboko na makanisa yao hiyo semina.Kama hela za kuattend hawana naomba TAG idhamini bure tafadhali