Askofu Shao amgeuka Magufuli, asema mizengwe kwenye uchaguzi mdogo ni ishara serikali haielewi maana ya demokrasia

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,459
2,000
Askofu Shao aliwahi kumsifia Magufuli hadi kumfananisha na Rais wa Zimbabwe aliyeondoka madarakani Robert Mugabe

Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

Lakini kwenye leo kwenye ibada ya Krismas iliyofanyika leo Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Augustino Shao amesema ipo haja kwa serikali kuelewa dhana ya demokrasia kutokana na mchango wake katika maendeleo ya taifa

Amesema mizengwe iliyofanyika kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani huko bara ni ishara kuwa serikali haielewi maana ya demokrasia, yaani kutofautiana

Pia amekemea watu wanaoiibia serikali na kusema hiyo ni dhambi kubwa
IMG_20171225_185806.jpg
 
Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,459
2,000
Viongozi wa dini ambayo wameamua kuikosoa serikali chini utawala wa John Pombe Magufuli. ambaye anajiona hakuna wa kumkosoa hakika wanastahili pongezi tunahitaji viongozi wa dini kama hawa wenye uwezo wa kusimama na kusema ukweli.
Mungu mwenye nguvu kuliko Magufuli, ana nguvu kuliko majeshi yote ya nchi, lakini anatukanwa na bado hatumii majeshi yake. Hata wewe unaweza ukawa mvumilivu.Askofu Kakobe
IMG_20171225_185806.jpg

FB_IMG_1514209059986.jpg
 
Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000
Askofu Shao aliwahi kumsifia Magufuli hadi kumfananisha na Rais wa Zimbabwe aliyeondoka madarakani Robert Mugabe

Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

Lakini kwenye leo kwenye ibada ya Krismas iliyofabyika leo Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Augustino Shao amesema ipo haja kwa serikali kuelewa dhana ya demokrasia kutokana na mchango wake katika maendeleo ya taifa

Amesema mizengwe iliyofanyika kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani huko bara ni ishara kuwa serikali haielewi maana ya demokrasia, yaani kutofautiana

Pia amekemea watu wanaoiibia serikali na kusema hiyo ni dhambi kubwa
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,091

Viongozi wa dini ni kioo kwenye jamii,tunamshukuru sana
 
Chesty

JF-Expert Member
Aug 30, 2009
5,780
2,000
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
YEHODAYA hivyo ni vibwagizo tu katika ujumbe sio ujumbe wa ibada, endelea tu kwenda church
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom