Askofu Shao amgeuka Magufuli, asema mizengwe kwenye uchaguzi mdogo ni ishara serikali haielewi maana ya demokrasia

Tatizo LA katoliki kwa sasa Askofu katoliki wa jimbo lolote aweza ongelea mambo ya kitaifa badala ya kuishia jimboni kwake.kidini huwezi ongelea muumini wa jimbo lingine direct bila kuwasiliana kwanza na Askofu wake.Magufuli kidini yuko chini ya Askofu wa dar es salaam ambaye ni Askofu na kardinali Pengo huwezi ibuka tu Askofu usiye wake kumumsema muumini asiye wako uwe Askofu wa rulenge,Gwajima, kakobe au Askofu koko yeyote.Ndio maana nimeomba kanisa LA Tanzania Assemblies of God litoe semina kwa maaskofu wawe katoliki ,nk wako vizuri.Kufundisha mipaka ya Mchungaji ni wapi ,Askofu wa jimbo ni wapi nk
we jamaa vipi, ina maana maneno haya yangetamkwa na shekhe mkuu kwa kuwa aliyeambiwa sio muislam yasingemhusu. Ingebidi shehe mkuu akaripoti kwa Pengo ndio ayatoe hadharani? ,Ni namna ya kiajabu unavyowaza.
 
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Kanisa ni zao la jamii mkuu! Kinachotokea kwenye jamii lazima ki reflect kanisa ni sawa na kazi za fasihi/literature. Kutaka kanisa lijitenge na siasa ni sawa na kuwambia wanafunzi wanaosoma POLITICAL SCIENCE pale UDsm at wasijihusishe na siasa ukidhan siasa haramu ni za upinzani tu. Wakati kwenye chama unachoongoza kuna matawi ya vyuo sijui nini?
 
we jamaa vipi, ina maana maneno haya yangetamkwa na shekhe mkuu kwa kuwa aliyeambiwa sio muislam yasingemhusu. Ingebidi shehe mkuu akaripoti kwa Pengo ndio ayatoe hadharani? ,Ni namna ya kiajabu unavyowaza.
Kuna kitu hukijui viongozi wa dini kuu wanajielewa wana mahusiano na wanaheshimiana Lutheran imeharibiwa na Askofu shoo..Lowasa alishindwa uchaguzi Ndani ya CCM na Alipohamia Chadema kwa kuambatana na viongozi wa dini wasiojielewa na wasio na mahusiano na viongozi wa dini zingine.Marafiki zake lowasa ni mujahidina akina shehe katimba,akina Askofu shoo,Gwajima na kakobe.Hao wana waumini wangapi kwenye vikao vya maamuzi vya CCM na wapiga kura katika nchi? Magufuli aliwahi akaenda kukaa karibu na kardinali Pengo na shehe mkuu wa Bakwata ambao wana waumini wao wengi Ndani ya CCM na wana wapiga kura wengi na wanafahamiana huongea kirafiki kwenye swala lolote linalohusu muumini yoyote wa upande wowote.Shehe mkuu wa bakwata akiona kuna kitu Magufuli kachemka ataenda kuongea na Pengo kwanza kuwa ongea na muumini wako nipe feedback nk hutasikia wakiropoka kama hawa Dot com bishops. mfano raisi wa Zanzibar Shein akichemka hivyo hivyo sheikh mkuu bakwata ataombwa na pengo ongea na muumini wako nk .Ila hawa maaskofu koko hawajui protocol na hadhi za vyeo vyao.kazi kuropoka tu kutafuta attention ya media.Lowasa asingeshinda na haji kushinda bila kupata ridhaa ya wazee wenye waumini wengi hao akina shehe katimba,kakobe,Gwajima na shoo wanampotezea muda tu na kula pesa yake.Kiongozi mkubwa wa nchi kuna protocol zake za kumkosoa hasa ukiwa kiongozi wa dini huamki tu kama mwehu
 
Safi sana baba Askofu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Askofu shoo alichaguliwa na team Lowasa askofu malasusa alisusa kumkabidhi siri za uaskofu alizopokea kwa watangulizi wake sababu askofu shoo alijifanya mjuaji akidhani uaskofu anaujua na kwa shinikizo LA Ukawa alisusa sherehe za kuapishwa Magufuli wakati viongozi wakuu wa dini walihudhuria akanuna Kisa Lowasa hajawa raisi KKKT ikawakilishwa na Askofu Malasusa anayejua siri za utawala ambazo askofu shoo baada ya kujifanya mjanja mjuaji Malasusa akaacha hakumpa .Ila angewauliza hata waliomtangulia malasusa wampe siri .Askofu shoo ni much know abaki na akina Lowasa angemuuliza hata askofu mstaafu mzeebSendoro mzee wa kaskazini pia amnongoneze kuwa nimekabidhiwa hiki na hiki je hakuna vingine? Kwa kuwa alijiona mjuaji abaki na ujuaji wake.Uaskofu sio joho, fimbo ,Pete na kofia tu
 
Safi sana baba Askofu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Uaskofu sio joho,kofia,collar,fimbo na Pete tu kuna vingi vya siri alitakiwa akabidhiwe lakini Askofu shoo alilewa Ukawa waliompigia kampeni akaishia kupewa Pete, joho,msalaba,collar ,kofia na fimbo ya kiaskofu tu wampa uaskofu baada ya kumpa vitu hivyo wakasepa hawakumpa vingine kwa kuwa alipotawazwa alikuwa na kadi ya ukawa mfukoni wakati Askofu hatakiwi kuwa na kadi iwe kwa siri au wazi.Wakamtangaza tu kuwa kwa hivyo tunakupa wewe ndio Askofu wa kaskazini wa Ukawa and company hongera kwa kupigiwa kura nyingi na team lowasa na Ukawa hao wakatimua mbio kurudi majimboni kwao
 
Viongozi wa dini ambayo wameamua kuikosoa serikali chini utawala wa John Pombe Magufuli. ambaye anajiona hakuna wa kumkosoa hakika wanastahili pongezi tunahitaji viongozi wa dini kama hawa wenye uwezo wa kusimama na kusema ukweli.
Mungu mwenye nguvu kuliko Magufuli, ana nguvu kuliko majeshi yote ya nchi, lakini anatukanwa na bado hatumii majeshi yake. Hata wewe unaweza ukawa mvumilivu.Askofu Kakobe
View attachment 658974
View attachment 658976
Hapo bado yule wa kule kagera
 
Askofu shoo alichaguliwa na team Lowasa askofu malasusa alisusa kumkabidhi siri za uaskofu alizopokea kwa watangulizi wake sababu askofu shoo alijifanya mjuaji akidhani uaskofu anaujua na kwa shinikizo LA Ukawa alisusa sherehe za kuapishwa Magufuli wakati viongozi wakuu wa dini walihudhuria akanuna Kisa Lowasa hajawa raisi KKKT ikawakilishwa na Askofu Malasusa anayejua siri za utawala ambazo askofu shoo baada ya kujifanya mjanja mjuaji Malasusa akaacha hakumpa .Ila angewauliza hata waliomtangulia malasusa wampe siri .Askofu shoo ni much know abaki na akina Lowasa angemuuliza hata askofu mstaafu mzeebSendoro mzee wa kaskazini pia amnongoneze kuwa nimekabidhiwa hiki na hiki je hakuna vingine? Kwa kuwa alijiona mjuaji abaki na ujuaji wake.Uaskofu sio joho, fimbo ,Pete na kofia tu

Naona unachanganya majina - kuna Askofu "Shoo" wa KKKT na kuna Askofu "Shao" wa TEC. Mada inamhusu Askofu "Shao" wa TEC ambaye ni Askofu wa Jimbo Katoliki Zanzibar!
 
Naona unachanganya majina - kuna Askofu "Shoo" wa KKKT na kuna Askofu "Shao" wa TEC. Mada inamhusu Askofu "Shao" wa TEC ambaye ni Askofu wa Jimbo Katoliki Zanzibar!
Naongolea Askofu Shoo wa KKKT hata kama nimetoka nje ya mada shao wa kanisa katoliki zanzibar namjua vizuri kamuulize makongo juu dar es salaam anapajua au hapajui? Sitaki kumwaga mtama kwenye kuku wengi ni vizuri akome kushambulia serikali.mfikishieni taarifa
 
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Angesifia unge-jam upepo kiasi hiki?? Hivi kuwa VUCCM lazima uwe insane kwanza?? Hata kwenye Biblia viongozi walikemewa kila walipokengeuka, huyu unayetaka asikemewe ni nani???
 
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid

Wachungaji wakikaa kimya mawe na Miti itaongea?futa Kauli yako na ficha upambavu wako na jamaa Zako
 
Hawa maaskofu so boring.mitaani unasikiliza siasa unasema ngoja nibadili mkao nimechoka siasa ngoja niende kanisani unafika kanisani unakutana na siasa tena .stupid
Mtaani ukiongelea siasa unanyakwa na kuswekwa korokoroni!
Sasa mtaa gani mnafanya siasa.
Magufail ana roho mbaya kumzidi shetani.
 
Wamechoka kumbeba sasa wameona bora wafunguke tu!!! Wasaidie kumgoriati prezooo tuu maana huku kwetu tutatekana buureeee!!!!!
 
Back
Top Bottom