Askofu Shao amgeuka Magufuli, asema mizengwe kwenye uchaguzi mdogo ni ishara serikali haielewi maana ya demokrasia

Askofu mzima hajui jinsi ya kukosoa muumini wa kanisa lisilo lake? Alitakiwa awasilishe malalamiko kwa Askofu pengo halafu pengo angempa feedback baada ya kuongea na muumini wake.Hivi hawa maaskofu woropokaji wasiojua protocol walipataje uaskofu kanisani kuna rushwa.hawa maaskofu nawaomba waombe wapewe semina na Kanisa LA Tanzania Assemblies of God yaani TAG wako vizuri kwenye mambo ya protocol za kikanisa.Katoliki,Lutheran, akina kakobe,Gwajima na maaskofu wote waropokaji washinikizwe kuhudhuria hata kwa viboko na makanisa yao hiyo semina.Kama hela za kuattend hawana naomba TAG idhamini bure tafadhali
Hujitambui wewe
 
Inaonekana hujui utaratibu wa kanisa katoliki, Pengo ni kardinali na sio boss wa maaskofu wakatoliki Tanzania. Hata kama ingekuwa hivyo huyo Pengo ndio aambiwe ili afunike unyama unaoendelea nchini? Hao viongozi wa dini wamevumilia wameona huko tunakoenda sio kwema, nchi inatawaliwa kinyama huku sheria zikikiukwa. Na bado kuna jumbe za viongozi wengi wa dini zitaripotiwa leo na kesho. Huu unyama unafanyika wazi kiasi hiki ni ngumu viongozi wa dini kukaa kimya.
Tatizo LA katoliki kwa sasa Askofu katoliki wa jimbo lolote aweza ongelea mambo ya kitaifa badala ya kuishia jimboni kwake.kidini huwezi ongelea muumini wa jimbo lingine direct bila kuwasiliana kwanza na Askofu wake.Magufuli kidini yuko chini ya Askofu wa dar es salaam ambaye ni Askofu na kardinali Pengo huwezi ibuka tu Askofu usiye wake kumumsema muumini asiye wako uwe Askofu wa rulenge,Gwajima, kakobe au Askofu koko yeyote.Ndio maana nimeomba kanisa LA Tanzania Assemblies of God litoe semina kwa maaskofu wawe katoliki ,nk wako vizuri.Kufundisha mipaka ya Mchungaji ni wapi ,Askofu wa jimbo ni wapi nk
 
Tatizo LA katoliki kwa sasa Askofu katoliki wa jimbo lolote aweza ongelea mambo ya kitaifa badala ya kuishia jimboni kwake.kidini huwezi ongelea muumini wa jimbo lingine direct bila kuwasiliana kwanza na Askofu wake.Magufuli kidini yuko chini ya Askofu wa dar es salaam ambaye ni Askofu na kardinali Pengo huwezi ibuka tu Askofu usiye wake kumumsema muumini asiye wako uwe Askofu wa rulenge,Gwajima, kakobe au Askofu koko yeyote

Magufuli ni rais wa nchi, ni zaidi ya mkazi wa Dar. Kama ni hivyo basi Magufuli asingezunguka nchi nzima angebaki Dar tu. Inaonekana unashindwa kuvumilia kusikia ukweli. Huu unyama mnaendeleza kwa kuwa viongozi wa dini wamekaa kimya hivyo mnaona kila unyama na kuvunja sheria mnakofanya mko sawa.
 
Wahusika Watakuwa wamesikia.

makanisa na misikiti inasidia kuongoza nchi na kuchangia kwenye kuimarisha hali ya amani na usalama wa nchi.

Ni hivi serikali ndiyo yene watu ila ni kuanzia jumatatu mpaka alhamisi.

Ijumaa ,jumamos na jumapili taasisi za dini ndiyo zenye watu.na wanasikiliza sana viongozi wao wa dini pili wanawaamini sana.kwani wanaamini wanaongea na Mungu wao moja kwa moja.kwa hiyo kiongozi wa dini anaheshimika na kuogopwa zaidi ya kiongozi wa nchi.

So ni mhimu maoni ya viongozi wa dini yasipuuzwe na serikali ili kuimarisha hali aya utulivu na amani iliyopo
 
Askofu mzima hajui jinsi ya kukosoa muumini wa kanisa lisilo lake? Alitakiwa awasilishe malalamiko kwa Askofu pengo halafu pengo angempa feedback baada ya kuongea na muumini wake.Hivi hawa maaskofu woropokaji wasiojua protocol walipataje uaskofu kanisani kuna rushwa.hawa maaskofu nawaomba waombe wapewe semina na Kanisa LA Tanzania Assemblies of God yaani TAG wako vizuri kwenye mambo ya protocol za kikanisa.Katoliki,Lutheran, akina kakobe,Gwajima na maaskofu wote waropokaji washinikizwe kuhudhuria hata kwa viboko na makanisa yao hiyo semina.Kama hela za kuattend hawana naomba TAG idhamini bure tafadhali
Hopeless argument from a hopeless mind.

Mwanadamu siyo mali ya askofu wala siyo mali ya kanisa bali ni mali ya Mungu. Watumishi wa Mungu jukumu lao kuu ni kuwahubiria watu wote wenye uwezo wa kusikiliza maana neno linasema nendeni Duniani mkawahubirie mataifa yote. Hakuna mahali liliposema mkawahubirie waumini wa makanisa yenu.
 
Tatizo LA katoliki kwa sasa Askofu katoliki wa jimbo lolote aweza ongelea mambo ya kitaifa badala ya kuishia jimboni kwake.kidini huwezi ongelea muumini wa jimbo lingine direct bila kuwasiliana kwanza na Askofu wake.Magufuli kidini yuko chini ya Askofu wa dar es salaam ambaye ni Askofu na kardinali Pengo huwezi ibuka tu Askofu usiye wake kumumsema muumini asiye wako uwe Askofu wa rulenge,Gwajima, kakobe au Askofu koko yeyote.Ndio maana nimeomba kanisa LA Tanzania Assemblies of God litoe semina kwa maaskofu wawe katoliki ,nk wako vizuri.Kufundisha mipaka ya Mchungaji ni wapi ,Askofu wa jimbo ni wapi nk
Unakuwa kama umechanganyikiwa vile..alivyomsifia na kumfananisha na Mugabe mbona hukumkosoa?..Kwahiyo nchi inakoelekea wewe unaona sawa tu..nyie ni watu gani hasa?sidhani kama ni watanzania!Kutokana na jinsi unavyomtetea jpm unaona ni sawa tu watu kupigwa mapanga?..Tunaelekea wapi?..ningefurahi kweli kama ndg yako angetandikwa mapanga kwa sababu ya siasa then utajua hawa viongozi wa dini wanaongea nini!
 
Tatizo LA katoliki kwa sasa Askofu katoliki wa jimbo lolote aweza ongelea mambo ya kitaifa badala ya kuishia jimboni kwake.kidini huwezi ongelea muumini wa jimbo lingine direct bila kuwasiliana kwanza na Askofu wake.Magufuli kidini yuko chini ya Askofu wa dar es salaam ambaye ni Askofu na kardinali Pengo huwezi ibuka tu Askofu usiye wake kumumsema muumini asiye wako uwe Askofu wa rulenge,Gwajima, kakobe au Askofu koko yeyote.Ndio maana nimeomba kanisa LA Tanzania Assemblies of God litoe semina kwa maaskofu wawe katoliki ,nk wako vizuri.Kufundisha mipaka ya Mchungaji ni wapi ,Askofu wa jimbo ni wapi nk
Huelewi wewe unachoongea.

Chini ya sheria ya Kanisa Katoliki, Canon Law, kuna mambo ambayo askofu wa jimbo moja hawezi kuyafanya katika jimbo jingine. Mambo hayo ni ya kiutawala tu na siyo mambo ya kiroho. Kanisa katoliki ni moja tu, na ni familia moja inayofuata imani moja. Maaskofu wote ni mapadre. Maaskofu hawawekwi wakfu. Daraja la upadre ndilo linalotoa mwongozo wa mafudisho ya kiroho. Hakuna Askofu wa Kanisa Katoliki ambaye anayweza kuleta mafundisho ya kiwendawazimu ya kusema kuwa kwa nini unamuonya muumini wa jimbo langu kuacha uovu.

Kanisa linakamilika kwa kutumia karama zilizomo ndani ya kanisa. Wengine ni waombaji wazuri lakini ni dhaifu wa kukemea. Wengine wana karama ya uponyaji lakini hawajui kuomba. Wengine ni manabii lakini siyo walimu wazuri, n.k. Karama hizo za viongozi ndizo zinazolijenga na kulikamilisha Kanisa.

Inaelekea unapungukiwa sana na uelewa wa muundo wa Kanisa Katoliki, mafundisho yake, elimu ya biblia na sheria ya Kanisa Katoliki. Muundo wa TAG ni tofauti kabisa na Kanisa Katoliki. TAG kila kanisa linajitegemea wakati Kanisa Katoliki lote ni familia moja iliyo chini ya Mama Kanisa mmoja. Mipaka ya majimbo ni mipaka ya kiutawala lakini siyo mipaka ya mafundisho au imani.
 
Back
Top Bottom