Askofu Mpemba amchana Spika Ndugai na wabunge 19 waliobatizwa jina la "COVID-19"; Wamevunja Katiba, warudishe fedha

Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda.
Angewatuma vijana wakamuulize ni watu wa taifa gani wanavaa kofia kama yeye, yawezekana huyu ni raia wa huko
 
tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla ya 2025.

Mbona mashambulizi dhidi yake yameachiliwa hivi?
Hili la spika ni muhimu sana kuanzishiwa movement seriously, spika tuliyenaye ni questionable, possibly ana hitilafu kichwani
 
Anaitwa askofu mpemba ,ni mchungaj tokea mwanza Ila alihama nchi akaenda kuishi ughaibuni baada ya kuwa anamkosoa hadharani Maghufuli ,jamaa ni Kati ya watu wachache waliobaki imara kwenye ukosoaji kipindi cha jiwe jamaa halikuyumba hata kidogo japo he was forced to withdraw his own country sababu ya vitisho vya jiwe .... Kwenye ukosoaji yupo level moja na tundulissu moja ya watu imara waliobaki kipind cha utawala wote wa chuma even though walilipa Gharama kubwa
ngoja nimfuatilie
 
Back
Top Bottom