Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 442
- 3,219
Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 08, 1957 Mkoani Kagera nchini Tanzania, aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre Julai 06, 1986 na Mhashamu Nestorius Timanywa, aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, March 18, 2010 aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Uaskofu na Askofu Mkuu Tarcisio Pietro Evasio Kardinal Bertone, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Vatican.
Amehudumu katika nchi mbalimbali kwa nafasi ya Balozi wa Baba Mtakatifu nchi hizo ni kama vile Angola, Honduras, Visiwa vya Fiji.
Chanzo: Radio Maria