TANZIA Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia

TANZIA Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia

Ofcourse wengi wanaotoka huko kwa kuchelewa (na hasa wanaofika mpaka Semiray kuu) halafu wakarudi mtaani, huwa wanakuwa kama mazoba hivi. Maana seminarini hakuna kuchangamana sana, na hasa na jinsia ya kike. NB:- Siyo wote!

Ila ukitoka baada baada kumaliza form four, au six; bado unakuwa mjanja. Na ushahidi ni utitiri wa Majaji, Wanasheria, Mawakili, Wanasiasa mbalimbali, Viongozi mbalimbali wa vyama, serikali, na wataalam mbalimbali waliotapakaa ndani ya jamii yetu.
nasikia kuvuta hata sigara unafukuzwa ni kweli?
 
nasikia kuvuta hata sigara unafukuzwa ni kweli?
Haya ni maadili ya kawaida sana hata kwa shule za serikali za boarding! Pombe, sigara, mahusiano, simu (enzi zetu hazikuwepo), nk. Ni kati ya makosa ya mwanafunzi kufukuzwa shule.
 
Back
Top Bottom