Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Na aliyeruhusu pesa ya umma ziibiwe sio Rugemalira ni serikali yako uliyoichagua na kuiweka madarakani. Hiyo ndio ibebe lawama. Au basi wakae kitako wakubaliane kurudisha hizo hela kama walivyofanya wakati wa EPA.

Tiba

With all due respect!!!!
Tiba, acha watu wajadili hata kama yanauma kimtindo much as huwa unajadili wengine kama huyu anakuhusu basi acha wengine waseme utetezi wako una walakini sana!!!!!
 
Last edited by a moderator:

With respect...wanzilishi was ufisadi wanajulikana kilaini

Hayumo kati ya hao
 
Last edited by a moderator:
Hebu tafadhari sana hebu njoo unipe habari hii ya Padre Karugendo, huyu mzee nilikuwa nashangaa kujiita Padre lakini ukimchallange kwenye Habari za Kanisa alikuwa hataki kusikia am anaonekana yuko mabali sana.

Ni muumini mzuri sana wa Mwl Nyerere, kama unataka mkosane anadika au sema jambo baya kuhusu Nyerere. Kuna watu walikuwa wakimuhusisha na uraia wa Rwanda na kwamba amekuwa akidaiwa ni moja kati ya Mashushu wa Kagame nchini petu. Ni mpingaji mzuri sana wa hii serikali ya Mh Jakaya akiandikia gazeti la Raia Mwema na Mara Chache Mwananchi. Kitu ambacho nilikuwa sijui ni kwamba kumbe amewahi kuwa Padre wa Kanisa Catholic na ati alifukuzwa....!!!

Je ni nini kosa/Chanzo, kwanini hataki kujihusisha na masuala ya kanisa, je mpaka sasa ni muumini wa kanisa gani?.... Mkuu gollocko mara apatapo notification hii tafadhari kwa haraka jongea hapa utoe ufafanuzi au kwa mkuu yeyote anayemjua huyu Bwana P. Karugendo msaada tafadhari...

BACK TANGANYIKA
miaka ya nyuma karugendo alikuwa ni padre wa jimbo katoliki la rulenge, alikuwa karibu sana na askofu wa jimbo hilo aliyejulikana kama askofu Mwoleka(RIP), Mwoleka alikuwa na vision aliyoiita ukamilishano, inashahibiana sana na siasa ya ujamaa na kujitegemea ya mwalimu Nyerere, yeye alikuwa anataka waumini waishi pamoja, kufanya kazi pamoja na kula pamoja labda kama ilivyokuwa kanisa la mwanzo. baada ya kustaafu alikuja askofu mwingine severini NIwemugemuzi huyu hakuipenda hii falsafa, pamoja na mambo mengine walitofautiana sana na karugendo na ndipo akamsimamisha upadre, kaugendo ni padre hadi leo ila kiukweli ana mtizamo tofauti sana na kanisa, mfano anauunga mkono matumizi ya kondomu
 
With all due respect!!!!
Tiba, acha watu wajadili hata kama yanauma kimtindo much as huwa unajadili wengine kama huyu anakuhusu basi acha wengine waseme utetezi wako una walakini sana!!!!!

Ndugu unanihukumu bure, huyo bwana simuungi mkono wala sina undugu naye na sifaidiki kwa vyovyote vile na ufisadi wake ila nilitaka tu kwa mawazo yangu kuonyesha nani hasa anapashwa kubeba sehemu kubwa ya lawama za wizi huu.

Tiba
 
Last edited by a moderator:
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.

Kitu kimoja na cha msingi kwa kanisa na bank yetu ya Mkombozi ni Kujisafisha kwenye hili maana tunaingiwa na mashaka na uadilifu wa chombo cha kanisa kuhusika kwenye kuibia wa Tz.
 
miaka ya nyuma karugendo alikuwa ni padre wa jimbo katoliki la rulenge, alikuwa karibu sana na askofu wa jimbo hilo aliyejulikana kama askofu Mwoleka(RIP), Mwoleka alikuwa na vision aliyoiita ukamilishano, inashahibiana sana na siasa ya ujamaa na kujitegemea ya mwalimu Nyerere, yeye alikuwa anataka waumini waishi pamoja, kufanya kazi pamoja na kula pamoja labda kama ilivyokuwa kanisa la mwanzo. baada ya kustaafu alikuja askofu mwingine severini NIwemugemuzi huyu hakuipenda hii falsafa, pamoja na mambo mengine walitofautiana sana na karugendo na ndipo akamsimamisha upadre, kaugendo ni padre hadi leo ila kiukweli ana mtizamo tofauti sana na kanisa, mfano anauunga mkono matumizi ya kondomu
Alikuwa Mjomba wake (Pekundu)
 
Ulichokiandika ni kweri kabisa, ila huyu alifukuzwa katoliki baada ya kumwandikia Papa juu ya ugomvi wake na Niwemugenzi, aliwajibishwa kwa kukosa utiifu. Bado ni padri kwani cheo hicho ukishakipata hakivuki ila si muumini tena wa katoliki na hivyo hawezi simama tena altareni. Na daraja la upadri alivuliwa kabisa baada ya kuoa pale alipokuwa kasimamishwa kwa uchunguzi zaidi. Kwa hiyoupadri wake ni wa celemonial zaidi.
 
Mkuu nadhani mtoa mada hajamtuhumu Askofu Kilaini kwa kula hela za rushwa.. Mtoa hoja ameshangazwa tu (kama nilivyoshangazwa mie) na kuona jina la Askofu likiwa ni miongoni mwa recipients wa mgao wa fedha toka kwa Rugemalila.. Na ameleta hapa hili Askofu atusaidie kuweka wazi hii issue.. Atuambie kama hiyo hela ilikuwa ni sadaka kwanini haikuingizwa kwenye akaunti ya kanisa..? Na kama ni yake binafsi atuambie sababu ya kupewa pesa hizo.. Sidhani kama hizi ni tuhuma so far.. Haya ni maswali tu ambayo katika kipindi hiki ambacho watanzania wengi wamechoshwa na ufisadi wa kutisha wangependa wapate majibu ili wajue kama atolewe kwenye kundi..

Tunavyolifahamu kanisa katoliki, hata kama baba askofu hatatoa reaction yake ktk hili, lenyewe lazima vyombo vyake vitalifanyia kazi and of course the outcome will be communicated to the users of this information in the right channel.
 
Naheshimu mawazo yako but so as long as no proof...no right to

convict him.

kweli kabisa kaka ni just speculation tu,

lakini hiyo ndio tabia halisi ya kutakatisha pesa na watakatisha pesa wote ndio wanavyofanya,

Huwezi kutoa Billion moja just kuchangia shule, then kugawa kwa Makasisi, aliombwa na Kilaini? Padri wa kikatoliki hana familia (Kila mtu yuko sawa tu-Kiimani ya Kikanisa) hizo pesa alizochukua Kilaini ni za nini? kama sio kumtunzia "Mwenzie"
 
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.

Usiweweseke kijana, stick kwenye hoja.Sisi tunachopigania ni kufahamu nani alihusika na utoaji hela kwenye akaunti ya Escrow full stop.Ishu za nani amepewa hela is non of our business.Kama kahusika Ruge akamatwe.Lakn tufahamu kuwa hakuna angeweza kutoa hela bila idhni ya serikali, hvyo wahusika wakuu n viongozi wetu.
 
Ndugu unanihukumu bure, huyo bwana simuungi mkono wala sina undugu naye na sifaidiki kwa vyovyote vile na ufisadi wake ila nilitaka tu kwa mawazo yangu kuonyesha nani hasa anapashwa kubeba sehemu kubwa ya lawama za wizi huu.

Tiba

Ni vizuri ila kwa sasa muhimu ni kujua mtandao woote then extent na labelling itakuja tu kwa wakati, lakini pia nani anapaswa kubeba lawama ni obvious yule tuliyempa dhamana ya kulinda mali yetu ila hii haitufanyi tuwaite wadokozi mezani kula na kunywa tukijadili "eti warudishe" !!!!!

Kwani waliofungwa woooote walipewa option ya kurudisha wakashindwa???!!
 
kweli kabisa kaka ni just speculation tu,

lakini hiyo ndio tabia halisi ya kutakatisha pesa na watakatisha pesa wote ndio wanavyofanya,

Huwezi kutoa Billion moja just kuchangia shule, then kugawa kwa Makasisi, aliombwa na Kilaini? Padri wa kikatoliki hana familia (Kila mtu yuko sawa tu-Kiimani ya Kikanisa) hizo pesa alizochukua Kilaini ni za nini? kama sio kumtunzia "Mwenzie"

Mleta hoja kasema 80million,

Nadhani billion ni kwa ma prof au???
 
Ni vizuri ila kwa sasa muhimu ni kujua mtandao woote then extent na labelling itakuja tu kwa wakati, lakini pia nani anapaswa kubeba lawama ni obvious yule tuliyempa dhamana ya kulinda mali yetu ila hii haitufanyi tuwaite wadokozi mezani kula na kunywa tukijadili "eti warudishe" !!!!!

Kwani waliofungwa woooote walipewa option ya kurudisha wakashindwa???!!

Ndugu yangu, tuko pamoja. Sentensi ya kukaa mezani na kurudisha iliingia pale kwa maana maalumu lakini nia yangu haikuwa kuonyesha kwamba nakubaliana na hiyo approach ya kurudisha. Kama ulivyosema ni vizuri tukapata mgawanyo wa hizo pesa ulivyokwenda, nina imani CCM hawatakosa kwenye list ya waliopata mgawo. Pesa za uchaguzi hizi na hawa kina Rugemalira wametumika tu.

Tiba
 
just someone out of the blue comes and gives you 80m,without even asking what for?anyway,it's dirty money,should not be in the church.kanisa katoliki ni kanisa imara sana na lina misingi yake tangu enzi,kama baba askofu hakujua basi hiyo m80 amrudishie mwenye nayo,kanisa haliwedhi kudhalilika kwa m80 wakati lina fedha ya kutosha.huo ulafi tuwaachie wanasiasa na hasa mama yenu aliyekiri kupokea mamilioni machaf

Usikurupuke kamanda!Kwani mtoa mada hajafafanua kuwa hzo pesa alimpa kwa sababu gani na bado pia hatujawa na uhakika wa uhalisia wa jambo hili.Kwamba imebainika kuwa Kilaini kawekewa hela haitoshi!Lakn pia tufahamu kuwa huyu jamaa(Ruge) aliuza hisa zake za iptl na sisi hizi hatuna ugomvi nazo labda bank iliyokuwa inawadai.
 
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.
Hapo ndipo uongo wako unapojidhihirisha.
 
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani???

Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.

Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????

Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?

Hapana aisee! yaani Bongo hii mtu aje tu akupige billlioni moja eti msaada kutoka mfukoni mwake au akupe millioni 80 eti msaada kwa kwa kanisa halafu hata usishituke? Huyu jamaa hizo hela ina maana hakuzitokea jasho ndio maana alikuwa anazigawa kama peremende.
 
Kwahiyo misaada watoe kina Mengi, Lowasa, Manji na wengineo akitoa Rugemarila kosa? Kuna shida gani mtu kutoa fedha zake alizopata kwa halali na kisheria?
 
Back
Top Bottom