Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Nchi imemshinda amebaki kuhonga vipaza wa mitandaoni kumsifia kijuha
Mwaka wa ngapi huu unaimba hii chorus? Itamshinda Hadi 2030.

Ikibidi na wewe honga wa kupinga humu mitandaoni.😂😂
 
Kuna thread yangu imefutwa humu , nimeelezea malalamiko ya mapadre wa TEC Kutoshirikishwa huko singida …ikielezwa kuwa ina shinikizo la waziri .. kutokana na Tamaa yake ya kutumia mikutano hiyo kwa ajenda binafsi za bandari , kumlaghai mama kwa kumpa jina ambalo hajaafiki la mama wa taifa …
kufuta thread haisaidii na mtu haiwezi kuja kuwa rais wa nchi kwa kuanza tu kuwatenga TEC kwa kuwa tu wanapinga bandari
nadhani wamefuta kwa kuwa ukweli wa taarifa yako hauna uhakika na hiyo ni sensitive news
 
kwa lipi hasa ? katiba imemshinda, bandari kaiuza, ujenzi wa reli mpya mkwamo, bwawa la mwl nyerere kizungukuti, , umeme hauwaki, uchaguzi ujao maandalizi ya kisheria na kanuni hafifu !! Baba askofu umepatwa na nini?
 
Sahau hizo day dreams zenu, labda mama yenu tu na sio taifa lenye heshima yake
Heshima ya Taifa inaletwa na Samia
Screenshot_20231011-174305.jpg
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Hilo ndio tatizo lako? Aitwe Mama wa Taifa kulishushua Kanisa Katoliki?
 
Sio mbaya maana tayari nasikia kuna Dada wa Taifa, Sijui Shangazi wa Taifa na kadhalika, iwavyo na iwe sie waungwana tunataka maendeleo na kulinda rasilimali zetu kwa vizazi vijavyo basi, mengine hatuna shida nayo
Baba wa Taifa alishalala 1999
Mama wa Taifa ni Mke wa Baba wa Taifa na yupo hai mboni mnazungumza matusi peupe Sa100 anaweza kulala na Nyerere? Maana ndio maana ya Baba na Mama msijitoe akili Askofu zimemruka achunguzwe kwa umakini
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.

Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Akishaitwa mama wa Taifa matatizo ya Watanzania yatakuwa yamesovika?

Watumishi wanadai malimbikizo ya tangu 2017 yatakuwa yamelipwa?

Vipi kuhusu katiba mpya itakuwa imepatikana?

Time huru nayo Je?

Nayo bandari kugawiwa mwarabu itasitishwa hilo zoezi?

Huyo siyo Askofu,
Huyo ni ashikofu mchumia tumbo.
 
Back
Top Bottom