Askofu KKKT: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

Acha ujinga wa kuingiza TEC hapa😕
 
Samia is doing wonders hakuna wa kumfikia Hadi Sasa.

Huyo unaemtaja wewe sijui ana mchango gani maana hata kupika alikuwa hampikii Mwalimu 😁😁

Umejuaje alikuwa hampikii?. Halafu Samiah kafanya wonders gani?. Kukopa nje mara dufu?. Deni limefika Trilioni 104. Huyo amalize 2025 aondoke arudi Zanzibar.
 
Ili Katiba Mpya ilete jipya lipi? Katiba Mpya itazuia Rushwa Mahakamani? Itazuia Rushwa Polisi na barabarani? Katiba Mpya italeta Maadili?

Mpaka hapo Katiba Mpya ni scam

Tatizo lako unaangalia mambo kwa jicho la CCM na kisamiah. Yani unaamini nchi haiwezi kubadilika itakaa hivi hivi. Katiba ndio msingi wa sheria zingine. Kwa mabadiliko ya katiba yatapeleke hata sheria za bunge kufungwa upya na mambo kubadilika.
 
Muda ukifika ila.kwa.sasa hakuna hiyo haja
 
Umejuaje alikuwa hampikii?. Halafu Samiah kafanya wonders gani?. Kukopa nje mara dufu?. Deni limefika Trilioni 104. Huyo amalize 2025 aondoke arudi Zanzibar.
Rais ana wapishi wake harafu radio mbao si unazijua?
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.

View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

Hapana, sikubaliani na mawazo yake, mimi mama wangu wa Taifa ni mama yangu mzazi, sina mwingine.
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.

View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

Mama wa DPW inamtosha. Muuza raslimali za Tanganyika kwa wajomba zake warabu, hawezi kuwa mama wa Taifa.
Mama Maria Nyerere anatosha.
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.

View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

View: https://www.instagram.com/p/CydwHjjN4zU/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713928660107887071?t=DVh2RNnJeWXToP75ho9YSg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja,Samia anastahili hadhi hii.

View: https://www.instagram.com/p/CyZ-hWcIccW/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.

😂😂😂😂😂😂😂😂unafiki wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom