Umesema kwamba?Askofu mchumba tumbo WA kkkkkttttt
Umesema kwamba?Huyo siyo Askofu,
Huyo ni ashikofu mchumba tumbo.
Hilo ni ASHIKOFU MCHUMIA TUMBO.Umesema kwamba?
Aliyeshika mpini wa kisu ndo anajua akate wapiAskofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.
Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Atakuwa amepata heshima anayostahili kadiri ya Juhudi zake.Akishaitwa mama wa Taifa matatizo ya Watanzania yatakuwa yamesovika?
Watumishi wanadai malimbikizo ya tangu 2017 yatakuwa yamelipwa?
Vipi kuhusu katiba mpya itakuwa imepatikana?
Time huru nayo Je?
Nayo bandari kugawiwa mwarabu itasitishwa hilo zoezi?
Huyo siyo Askofu,
Huyo ni ashikofu mchumia tumbo.
Wewe unachumia nini?Askofu mchumia tumbo WA kkkkkttttt
Kimtuza heshima anayostahili,Samia unaweza mlinganisha na Kiongozi gani wa awali kwenye delivery?Hilo ndio tatizo lako? Aitwe Mama wa Taifa kulishushua Kanisa Katoliki?
Hadhi hiyo ni ya Mama Maria Nyerere.Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.
Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Kwa lipi? Kuwa Mke wa Nyerere au?Hadhi hiyo ni ya Mama Maria Nyerere.
njaa mbayaAskofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.
Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Njaa ya nini? Askofu na wewe nani ana njaa?njaa mbaya
Huwa Sibahatishi…na Nitawakumbusha.nadhani wamefuta kwa kuwa ukweli wa taarifa yako hauna uhakika na hiyo ni sensitive news
Sasa mpka Maaskofu!!!Ask off "chawa"? ..dah!Wameshaanza kujipendekeza.
Hajaishika hiyo nafasi kwa ridhaa ya wananchi bali kwa bahati mbaya ya katiba inayopingwa vikali.Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.
Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Pumbavu kabisaAskofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.
Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Pumbavu mwenyewePumbavu kabisa
Na mama maria Nyerere je!?Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.
Kama nawaona Machadema,TEC na Sukuma gang walivyojaa Chuki.
=====
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Singida, Mchungaji Dkt. Cyprian Hilint amependekeza Rais Samia Suluhu Hassan aitwe ‘Mama wa Taifa’ kwa kuwa ndiye mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi ya Urais.
Pia soma: Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa
Bibi wa Taifa.Na mama maria Nyerere je!?
Kwahiyo baba alioa bibi!!?Bibi wa Taifa.