Askofu Gwajima unaanza vibaya!

Askofu Gwajima unaanza vibaya!

Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!

Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha doa.

Si mwanzo mzuri.
n.b.
Nimetonywa na mdau aliyekuwepo.
Gwajima kwao ni Mbeya
 
Gwajima siyo wa kwenu ni wa yule aliyewatuma mumpelekee! Tulieni mnyolewe na kule bungeni ameenda kuendeleza mtanange wa utani kati ya wagogo na wasukuma.
Na amewafundisha wale covid 19 utaalamu wa kutengeneza video pendwa
 
Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!

Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha doa.

Si mwanzo mzuri.
n.b.
Nimetonywa na mdau aliyekuwepo.
Alikuwa kanisani akikiombea kikao
 
Hata nyumbani kwako kuna tofauti mkuu, hakuna sehemu utaweka watu wawili watatu wote wakawa perfect
Na ndio maana kuna sheria na taratibu popote pale duniani
Ni kweli mama d.
Nyumbani hata watoto wanatofutiana karama,ama talanta.
Mzazi anajua mapema kabisa huyu kwa akili zake atakujakuwa fulani,eg engineer au lawyer,etc
Sasa nyie mlijua kabisa gwajiboy kwa tabia zake huyu ubunge hakuna kitu.
Ila mkawa wapiga Debe wazuri huku mkijua hata wajumbe walimkataa.
Haya sasa ndo Rashid huyo.
 
Huyu ndiyo chidi gwiji boy Mzee wa mishemishe
 
Ni kweli mama d.
Nyumbani hata watoto wanatofutiana karama,ama talanta.
Mzazi anajua mapema kabisa huyu kwa akili zake atakujakuwa fulani,eg engineer au lawyer,etc
Sasa nyie mlijua kabisa gwajiboy kwa tabia zake huyu ubunge hakuna kitu.
Ila mkawa wapiga Debe wazuri huku mkijua hata wajumbe walimkataa.
Haya sasa ndo Rashid huyo.

Tukianza kunyoosheana vidole kwenye mapungufu wengi kama wanadamu wamepungukiwa
 
Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!

Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha doa.

Si mwanzo mzuri.
n.b.
Nimetonywa na mdau aliyekuwepo.
Ama alihitaji kupima mwitikio
 
MTOA HOJA

Si Jambo Zuri, Hata kama Uhuru wa Habari ni Jambo Binafsi, Lakini Kuweka Post ya UONGO sio Uungwana. Lakini Kwa kuwa mtoa maada ametonywa basi ni vizuri kunyoosha Taarifa Hizo Kwa Usahihi.

Tarehe hiyo 18/12 Ijumaa, Ni kweli Diwani wa Mbezi Juu CCM Mweshimiwa Anna Lukindo Alikuwa na Ratiba Yake ya Kuongea na wadau mbalimbali kwenye kata Yake.

Lakini Siku hiyo Hiyo Mweshimiwa Gwajima Mbunge wa Kawe Naye alikuwa na Ratiba Yake ya Kuwashukuru Watukufu Wanawake wa Kiislam Kwa Kumpigia Kura Kama sehemu ya Mwendelezo wa Ratiba zake Za kuwashukuru makundi ya Wananchi Mbalimbali JIMBONI kwake Kwa Kumpa Kura.

Na Baada ya Shukrani Hizo Tulielekea Bunju B Kwa Mkesha wa Maulid siku.
 
Attachments

  • 42650435-4DE5-44D3-84A2-60C1C0046605.jpeg
    42650435-4DE5-44D3-84A2-60C1C0046605.jpeg
    124.1 KB · Views: 9
Back
Top Bottom