Kuna binadamu bado hawaelewi kuwa ni kweli Mungu huwa hadhihakiwi!Gwajima sio wamchezomchezo
Kuna binadamu bado hawaelewi kuwa ni kweli Mungu huwa hadhihakiwi!Gwajima sio wamchezomchezo
Mshauri kama uko karibu naye, ukiita watu na wakakutegemea, kuwaacha solemba wana kulaani!
Sheikh Rashid alienda msikitini, hamjui ilikuwa Ijumaaa?Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Mlimchagua nyinyi au tume?Haukuwekwa wazi!
Lakini kikao cha kwanza cha mbunge na waliokuchagua hutokei, sijui tuichukulieje?
Haikuwapendeza waliohudhuria.
Kwamba waliombebea mabegi ya Kura ni maBwegeHaukuwekwa wazi!
Lakini kikao cha kwanza cha mbunge na waliokuchagua hutokei, sijui tuichukulieje?
Haikuwapendeza waliohudhuria.
Huyo anaitwa Rashid. Hamkumfahamu? Tangu lini Rashid ametunza ahadi.Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Siyo Birmingham anasaka viza.Gwajima yuko Japan jamani. Anashugulikia vijana wa kawe wakasome
Chunguza vzr kama wanakondoo jike hawakupungua hapo.huenda anashughulikia vita za BirminghamHaukuwekwa wazi!
Lakini kikao cha kwanza cha mbunge na waliokuchagua hutokei, sijui tuichukulieje?
Haikuwapendeza waliohudhuria.
Tapeli yuleAskofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Mlivyokuwa mnamshadadia kipindi cha kampeni hamkuyajua hayaHawa viongozi wanakosea sana
Akiendelea hivyo atapuuzwa na wananchi na kusemelewa kwa boss wake
Hata nyumbani kwako kuna tofauti mkuu, hakuna sehemu utaweka watu wawili watatu wote wakawa perfectMlivyokuwa mnamshadadia kipindi cha kampeni hamkuyajua haya
Ndiyo imetoka hiyo hadi 2025Kweli kabisa, nilipiga ndondogo hadi basi.
Sasa tunataka apokee kero anasepa.