Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,563
- 28,524
- Thread starter
- #81
MTOA HOJA
Si Jambo Zuri, Hata kama Uhuru wa Habari ni Jambo Binafsi, Lakini Kuweka Post ya UONGO sio Uungwana. Lakini Kwa kuwa mtoa maada ametonywa basi ni vizuri kunyoosha Taarifa Hizo Kwa Usahihi.
Tarehe hiyo 18/12 Ijumaa, Ni kweli Diwani wa Mbezi Juu CCM Mweshimiwa Anna Lukindo Alikuwa na Ratiba Yake ya Kuongea na wadau mbalimbali kwenye kata Yake. Lakini Siku hiyo Hiyo Mweshimiwa Gwajima Mbunge wa Kawe Naye alikuwa na Ratiba Yake ya Kuwashukuru Watukufu Wanawake wa Kiislam Kwa Kumpigia Kura Kama sehemu ya Mwendelezo wa Ratiba zake Za kuwashukuru makundi ya Wananchi Mbalimbali JIMBONI kwake Kwa Kumpa Kura.
Na Baada ya Shukrani Hizo Tulielekea Bunju B Kwa Mkesha wa Maulid siku.
Mkuu inaelekea unajua mengi.
Watu wana mategemeo sana na Mbunge Gwajima.
Hebu isome hiyo kadi ambayo ilitumika kualika watu.
Diwani kachapia?
Fafanua, kadi hiyo SIYO UONGO.
Kulingana na kadi Mbunge Gwajima alitakiwa kuja hapo.