Askofu Gwajima unaanza vibaya!

Askofu Gwajima unaanza vibaya!

Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Mwanasiasa hawezi kuwaheshimu Raia wakati siyo waliomweka hapo alipo.

Hapo Magufuli ndio kila kitu kwa Gwajima maana ndiye mwenye uwezo wa kubadili hatma yake, ninyi mpo tu kama ngazi.
 
Usiwe mwepesi kulaumu na kulalamika jitahidi kwanza kujua sababu zilizosababishahilo litokee, kiasha kuanzia hapo ndo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa ya kuongea chochote.
 
Hawa viongozi wanakosea sana
Akiendelea hivyo atapuuzwa na wananchi na kusemelewa kwa boss wake
Gwajima hakuchaguliwa na wananchi na hivyo hana sababu ya kuwaheshimu.

Nafasi aliyonayo ni kutokana na nguvu ya Dola ambayo msingi wajebni Magufuli.
 
Usiwe mwepesi kulaumu na kulalamika jitahidi kwanza kujua sababu zilizosababishahilo litokee, kiasha kuanzia hapo ndo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa ya kuongea chochote.
Angeweza kutuma ujumbe, au udhuru.

Kirahisi hii tunaichukulia kama dharau fulani hivi!
 
Gwajima kwasasa anajenga imani kwa wananchi ,juzi juzi aliwalisha pilau waislamu na kuwapa buku 10 10 kisha akawaahidi kuwajengea ofisi kubwa maeneo ya jimboni kwake!! Hapo ndipo kutakuwa na katibu wake wa kusikiliza kero za jimbo.
 
Gwajima yuko Japan jamani. Anashugulikia vijana wa kawe wakasome

Zile Boat 🚣‍♀️ za uvuvi zimeshawasili au ilikuwa longo longo.Vipi wale wa kwenda USA 🇺🇸 baby wameshaondoka 😂😂😂
 
Mwanasiasa hawezi kuwaheshimu Raia wakati siyo waliomweka hapo alipo.

Hapo Magufuli ndio kila kitu kwa Gwajima maana ndiye mwenye uwezo wa kubadili hatma yake, ninyi mpo tu kama ngazi.
Watu wasitarajie wabunge hawa kuheshima wananchi ili hali wananajua hawakuchaguliwa.
 
Gwajima kwasasa anajenga imani kwa wananchi ,juzi juzi aliwalisha pilau waislamu na kuwapa buku 10 10 kisha akawaahidi kuwajengea ofisi kubwa maeneo ya jimboni kwake!! Hapo ndipo kutakuwa na katibu wake wa kusikiliza kero za jimbo.
Mshauri kama uko karibu naye, ukiita watu na wakakutegemea, kuwaacha solemba wana kulaani!
 
Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Sioni tatizo katika hili kama Binadamu yoyote mwingine ambaye hutokewa na dharula. Kikubwa kama alitoa Udhuru basi amefanya Jambo jema.
 
Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha ka doa.
Si mwanzo mzuri.
Ule mwaliko aliandaa Mbunge ama Diwani? Napata shaka sana kama alikuwa ni Mbunge!
 
Back
Top Bottom