Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,453
Nasubiri ampasue yule shoga wa bumbuli.Umeona eeh[emoji3][emoji3]
Na kashasema ,ukimjibu bila hoja,anapiga single touch double manifestation!
Ntacheka hadii basiii!!
Nasubiri ampasue yule shoga wa bumbuli.Umeona eeh[emoji3][emoji3]
Na kashasema ,ukimjibu bila hoja,anapiga single touch double manifestation!
Sasa huko America Sasa hivi Biden kasema Mtu akichanjwa Chanjo apewe dollar 100 ni 100x2399= 239,900Ni kwasababu taifa lina ujinga mwingi kuliko maarifa.
Sababu?Aliyoyafanya Gwajima angekuwa kayafanya shehe au mpinzan hal ingekuwa mbaya
Sawa na naamini hivyo pia tena kwa 100%, ila hivi kuna Daktari Mtanzania mwenzetu ameweza kuwatoa Watanzania wasiwasi kuwa hiyo chanjo haina tatizo lolote kwasasa au kwa baadae katika miili yao?Na pia ukweli ni kwamba mataifa yote ambayo yametoa chanjo vifo vinapungua.
Corona inakwenda kuwa gonjwa la Africa kwa ujinga wetu kama ambavyo ukimwi unatuhenyesha.
Kuna mdudu kwenye bongo zetu si bure.
Ni kweli ukichanjwa unaugua corona lakini ukali wake ni sawa na ambaye hajachanjwa? Chanjo inasaidia kupunguza ukali wa corona kufikia level ya mafua ya kawaida.
Ni tapeli aliyejificha nyuma ya dini wakati hajui lolote. Nadhani huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa janja yake. Na ashindwe na anyong'onyee mjalaana huyu mwenye roho mtakikitu adaiye ni roho mtakatifu. Ni wale manabii wa uongo aliotabiri Yesu ambao tusipowabana watapoteza wengi.Akijulikana kama askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ambaye kwasasa ndio Mbunge wa Kawe si mara ya kwanza kuingia kwenye mitifuano na serikali.
Ana kesi nyingi pia ambazo mwisho wake una utata
Ana kashfa nyingi pia
Ni aina ya mtu ambaye sidhani kama ana mshipa wa soni. Ni kinyonga na hachelei kugeuza maneno
Ni kwanini baada ya yote hayo anapeta tu?
Jibu ni moja tu. Walimuamini wakamtumia katika shida zao mbalimbali za kijamii, mahusiano, siasa, kiroho na hata kifedha..anawajua nje ndani.
Amebeba siri zao nyingi sana, anawajua na kuwafahamu kwa mengi mema na mabaya. Kamwe hawawezi kumgusa.
Atafanya atakavyo, atasema atakavyo lakini watafunika kombe tu mwanaharamu apite. Amewafanya kama mateka wake. Anawatumia atakavyo, Dr. Slaa anamjua vema huyu.
Kama ukweli ni tofauti na huu. Basi naamini atachukuliwa hatua walau za kupewa karipio la wazi. Hebu msikize hapo[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
View attachment 1872360
Kuna mtu mmoja tu ndio alikuwa na uthubutu wa kumsema waziwazi. Naye si mwingine bali ni Mzee Makamba[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Hata huyo Gwajima atachanjwa tuu labda kama hana mpango wa kusafiri tena nje ya nchi!View attachment 1874743
Huku ndipo wanapotaka kutupeleka.. Na tayari tumeshaingia kwenye mtego.
Let's wait and see..
Gwajima huyu huyu mfufua wafu feki?Kuna siku mtakuja kumuelewa Gwajima ila itakuwa ni too late..
Kwa kifupi ni kuwa ile vita baina ya pande mbili (Light and Darkness) inangia kwenye hatua nyingine. Na kuna baadhi ya viongozi wa kiimani wako very weak kiasi kwamba wanapigana upande wa giza bila kulijua hilo.
Kwa nini unafikiri hiyo chanjo inaweza kuwa na matatizo Sasa au baadae? Nini kinakupa wasi wasi huu mpk ufikiri unahitaji ufafanuzi kwamba huenda itaweza leta madhara? Una case study ya chanjo ambayo ilishawahi leta madhara baada ya matumizi? Hii wameihandle kama emergence case tukisubiri majibu yote hayo yapatikane corona ishamaliza watu.Sawa na naamini hivyo pia tena kwa 100%, ila hivi kuna Daktari Mtanzania mwenzetu ameweza kuwatoa Watanzania wasiwasi kuwa hiyo chanjo haina tatizo lolote kwasasa au kwa baadae katika miili yao?
Kwanini asitokee daktari au mtaalamu wa afya ajibu hizo hoja za Gwajima ili awaweke watu katika matumaini na kuwaondolea hofu ya kuchanjwa?
Basi tuachane na hizo media za mabeberu, naomba article yoyote kutoka kwenye reputable journal inayotilia shaka hizo chanjo..Huko CNN na BBC si ndiko mabeberu yalipoweka kambi za propaganda??
Huna lolote wewe kibaraka wa machanjo!
Uzuri ni kwamba kwa sasa wananchi wanajitambua. Hamtawalisha matangopori tena kama enzi zile za UKIMWI.
Kama hujui tafsiri ya kitu si vema kukitumia utaonekana kituko mbele za watu
LOW MINDSETS DISCUSS PEOPLE, MIDIUM MINDSETS DISCUSS EVENTS BUT HIGH MINDSETS DISCUSSE ISSUES
naomba article yoyote kutoka kwenye reputable journal inayotilia shaka hizo chanjo
Kumaliza watu namna gani?tukisubiri majibu yote hayo yapatikane corona ishamaliza watu.
sanaaaNa ana akili mno
Jibu hoja mkuu