ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,554
- 3,749
Sijajua ukweli hasa kuna issue gani hapo Mbweni ila nimemsikia Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Gwajima akisema amezungumza na na ao wabomoaji wamemjibu kuwa wanapisha bustani.
Sijui labda kama kuna mwenye taarifa sahihi atujuze kuna nn huko hasa huko Mbweni.View attachment 2022062
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu Watendaji wa serikali, wawajibishwe, na wasitoe tena vibali kujenga maeneo ambayo hawatakiwi.
Kila kibali kikitolewa, wahusika wote wafungwe na kufilisiwa. Nidhamu itarudi.
Hawa wapewe hata compesation kidogo kuanza maisha upya?