Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,052
- 71,361
Unaamini hilo???%
"Only Stupid People Don't Change Their Minds".... Boutros Boutros-Ghali
Former Secretary-General of the United Nations
Unaamini hilo???%
"Only Stupid People Don't Change Their Minds".... Boutros Boutros-Ghali
Former Secretary-General of the United Nations
Kuna mahali nilikua nmekaa na wazeee . Kila mzee anasema ,Gwajima karithi Mikoba ya JPM.Kwa ufupi kwasasa wananchi wanamuona Mchungaji Gwajima kama kivuli cha JPM na ile imani yao kwa JPM wameiweka kwa Gwajima na ni kama ushawishi wa Gwajima unashinda.
Itakuwa chenga chengaHiyo kamati itamuhoji live au itakuwa Chenga chenga...
John unampampu Gwajiboy sasa mwisho utamponza.
Kuna mahali nilikua nmekaa na wazeee . Kila mzee anasema ,Gwajima karithi Mikoba ya JPM.
naona hili jambo linaenda kumpa Gwajima Umaarufu na Ustahili .
Tuliza kijambio hicho dada, hapa ni mpambano wa Gwajima na Serikali ya chama lenu chakavu, hadi sasa Askofu Gwajima 3 CCM 0Chadema wako busy na kigogo mmoja!
Unajidanganya Chidboy ameshaimanua CCM tayari wewe unasema nini?Chidboy ni mtoto mdogo sana kwa chama kubwa, walikuwepo watu walitulizwa sembuse haka kajamaa kaongo kaongo??
Anawatafuna nyie mazombie yakeNa wewe jiandae akutafune kinyeo upate raha.
Ntafurah kuonana na wewe....na pia kwa upande wangu utakua mwana Jf wa kwanza ku meet physically......Bwashee karibu kanisa la ufufuo na uzima!
Kaimanuaje? Kwa kuropoka kwamba ukichoma chanjo utapata alama ya 666 begani? Huko ni kuimanua au kujionesha ni jinsi gani yupo empty kichwani?Unajidanganya Chidboy ameshaimanua CCM tayari wewe unasema nini?
Badala yake niandike nini? Nyama ya steki , jembe au salala?Acha kuandika utumbo
1. Labda uanze kwa kuyathibitisha kwanza ukweli wake ndipo nitasadiki vinginevyo nitachukulia ni sababu ya chuki, fitina n.kMungu hachangamani na mzinzi, mwongo, tapeli, mzushi na mwizi wa kura
Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.
Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge...