#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

CCM na Serikali yake wameshatepeta mbele ya Chidboy. Hatimaye Sukuma Gang waibuka kidedea Msoga Gang walie tu.
 
John unampampu Gwajiboy sasa mwisho utamponza.

“Askofu Gwajima:ukimtoa Yesu aliye mwana wa Mungu, ambaye nimeweka maisha yangu kwake, kingine hakinitishi. Na hiyo ndiyo imani yetu sisi, hatugeuki, hatubadiliki, hatujadili”

ukiwa na Yesu hakuna kuogopa
 
Gwajima ana mtaji wa watu ambao sehemu kubwa ya hao watu wapo kwenye lindi la ujinga kama yeye mwenyewe

Serikali hivi imeshindwa ku m fix huyu msanii kwa kivuli chake cha uongozi wa Kanisa na kuna wa Tanzania wenzetu ikifika suala la imani hata kwa watu wasanii kama huyu wanakuwa upande wake as long anatoka kwenye imani yake
 
Mungu hachangamani na mzinzi, mwongo, tapeli, mzushi na mwizi wa kura
1. Labda uanze kwa kuyathibitisha kwanza ukweli wake ndipo nitasadiki vinginevyo nitachukulia ni sababu ya chuki, fitina n.k

2. Nikikuuliza; Kwani upande huo aliyemsafi ni nani wa kuweza kunyajua jiwe kuanza kumrushia J. Gwajima?

3. Unamfahamu mtu (Mwamini) kufanyika Mwana wa Mungu ?

Je unafahamu maana yake?

Je unaijua siri iliyomo ndani yake bila kujali chochote?

Tafakari, tafuta kujua!

Hata hivyo siri za Mungu zina wamchao!
 
Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.

Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge...

😂😂😂😂!

".....yaani yuko waluwalu tu hatulii, juzi alisema mume wangu baada ya kuchanjwa ame-test mitambo yangu iko fiti, kiongozi unasema hivyo?"

"....Wanatakiwa kusema kwa sasa hivi sisi mama tutaharibu kwa sababu tulisema hivi na video zipo wakijifukiza wenyewe.”


Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom