Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

This is a criminal case, Inayoshitaki ni Jamhuri, Pengo ni shahidi. Hivyo hata Kova anaweza kufungua kesi akitaka! Kisheria haja kosea. Pengo anaweza kufungua civil tort akitaka!

kunukuu maandiko kwenye biblia nayo kesi?

Mtumishi amesema amemuonya Pengo............."Kwa kutumia maandiko matakatifu Wagalatia 3:1 enyi wagalatia msio na akili ninani aliyewaloga inawezekana (Nikayatumia maneno hayo hayo) Baba Askofu Pengo hakuridhishwa na karipio...ila hata nikikutana naye nitamkemea kama nilivyomkemea........"
 
Pole Gwajima japo lugha uliyoitumia ilikuwa na ukakasi sana ila ujumbe umemfika askofu wangu pengo
 
Naona umeamua kuchokoza umma kuwaambia Muddy wao alikuwa anakula kitimoto!



Ule uwanja si kanisa ni public open space kama uwanja wa jangwani.Si jengo la kanisa lile.Kamtukana pengo kwenye uwanja wa wazi mbele ya watu wenye dini na wasio na dini kwenye eneo lisilokuwa la kidini la viwanja vya Tanganyika Packers visivyokuwa vya kidini.Pale hakuna madhabahu pana jukwaa mbele ya sheria.Ambapo alitumia hilo jukwaa kumtukana Pengo akijua fika kuwa pengo si muumini wa kanisa lake wala si kiongozi aliye chini yake akaamua kumporomoshea matusi ya nguoni wakati akjijua pengo hakuwemo humo kanisani kujitetea dhidi ya matusi aliyomporomoshea.

Si kesi zote za jinai lazima mtu aliyekashifiwa akashtaki.Mfano wewe ni askofu ukatukana waislamu hadharani kuwa mohamed alikuwa anakula nguruwe Waislamu wakaja juu.Polisi wanaweza kukufungulia mashtaka ya kutoa matamshi yanayoletelea uvunjifu wa amani bila mwislamu yeyote kupeleka mashtaka.

Kutukana pengo ni kuletelea uvunjifu wa amani kwa waumini wanaomheshimu Pengo.Hivyo Polisi kumfungulia mashtaka Gwajima ni sahihi.Pengo wala hahitaji kwenda polisi.

Gwajima ashikiliwe hadi jumatatu ili asizidi kuzua na kuporomosha matusi na tuhuma zitto.Ikumbukwe kuwa pamoja na kutafutwa ameendelea kutoa Audio za matusi kwa viopngozi ikiwemo aliyoweka leo.Kwa hiyo ili asiendelee na hayo ashilkiliwe hadi jumatatu
 
Pamoja na leo kipande cha sauti kusambaa kuwa Gwajima angejisalimisha Jumatatu kwa kuwa kwa sasa yupo Arusha na kuwataka waumini wake kufika polisi Jumatatu bila kufanya vurugu. Kwa sababu ambazo hazijatolewa bado, askofu Gwajima amejisalimisha kituo cha Polisi tayari leo Ijumaa ili kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Audio: Askofu Gwajima awajibu Polisi Kuhusu kuitwa aende kujieleza


mchochezi mkubwa...akamatwe tu na afungwe mpaka kieleweke. hawezi kuwa anatukana watu kwa makusudi akaachwa bila kushtakiwa na kufungwa jela.
 
saivi ndo unasema sio madhabau mbona kipindi kile cha ulimboka,kamanda kova alisema yule mkenya alimfata gwajima madhabauni? na ilikuwa hapohapo Tanganyika pekas
 
Back
Top Bottom