Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

walipe kisasi kwa waumini kwani polisi wametangaza wana ugomvi na waumini wa gwajima?

Hujui polisi wa Tanzania wanavyo wafanyaga watu wanaokuwa upande wa MTU ambaye wao wanamchukulia kama adui? Fuatilia kilichotokea maandamano ya cuf, na Kyle Zanzibar jinsi watu walivyo uawa na polisi bila sababu kwa kisingizio tu wameandamana
 
Wala hawatampata ng'o! Hayo ni mambo yaliyonenwa madhabahuni! Alafu, inabidi Pengo afungue kesi kwanza! Hii kesi ya sasa kafungua Kova!
Unataka kusema Madhahabuni ni mhimili mwingine kama Bunge na Mahakama.?

Alichokifanya Gwajima ni uhuni, hamna tofauti na mlevi wa Gongo.
Wasio mfahamu gwajima walihoji huyu ni Askofu au mlevi fulani kaamua kumvaa Pengo.

Kumbuka Gwajima anafahamika Dar tu kama Askofu , huku mikoani anafahamika kwa kashfa ya kupora mke wa mtu.
 
Haiwezekani kwa maneno aliyoyasema hadharani na yale aliyoyaeleza kwny ujumbe wa kuwajibu polisi huku akiwa amejaa kigugumizi yakawa yana uzito sawa. Binafsi bado nko na ukakasi wa haya makanisa yanayozidi kuongezeka kwa mgongo wa ubepari yakipora kidogo wananchi walicho nacho na kuwaneemesha waanzilishi inabidi tuamke wa Tanzania vingine tuvikatae na haihitaji akiri ya kuambiwa au kushauriwa kuona tupelekwako na hawa jamaa ambao kila jumapili tunawapelekea sadaka mwishowe wanajaza full tank kwny magari yao ya kifahari huku siye bado tunanukishana vikwapa kwny daladala tupandazo tena kwa kugombania.
Its geting too much n much kwa huu wizi na uzandiki tufanyiwao na hawa wezi na matapeli kwa njia ya biblia mpk leo wanatukanana madhehebuni na tukiwashangilia? Hii ndo nchi isiyo elezeka pale tunapopaswa kusema hapana tunashangilia kweli? Akili zetu si sawa hili na kiri na nadhan kuna haja ya wazungu kuja kutotolea huu upuuzi wao tuendelee na mila zetu za matunfuli

Utakuwa mwanga wewe
 
Wala hawatampata ng'o! Hayo ni mambo yaliyonenwa madhabahuni! Alafu, inabidi Pengo afungue kesi kwanza! Hii kesi ya sasa kafungua Kova!

This is a criminal case, Inayoshitaki ni Jamhuri, Pengo ni shahidi. Hivyo hata Kova anaweza kufungua kesi akitaka! Kisheria haja kosea. Pengo anaweza kufungua civil tort akitaka!
 
This is a criminal case, Inayoshitaki ni Jamhuri, Pengo ni shahidi. Hivyo hata Kova anaweza kufungua kesi akitaka! Kisheria haja kosea. Pengo anaweza kufungua civil tort akitaka!

Gwajima Yeye mwenyewe Kakiri kuwa lile tamko ni lake.Mtu akikiri huhitaji shahidi yeyote sheria inachukua mkondo wake.Pengo wala hahitaji kuwa shahidi kwa mtu aliyekiri mwenyewe.Na hata wakitakiwa mashahidi uko umma wa waliokuwepo Kawe wa wakatoliki na wasio wakatoliki waliomsikia akiporomosha matusi wakiitwa mahakama haitatosha.
 
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Akiongea kabla ya kuhojiwa na polisi Mchungaji Gwajima amejitetea kuwa alichofanya ni kutumia fursa ya kumuonya kiongozi mwenzake wa kiroho kutokana na kuwageuka wenzake katika makubaliano waliofikia katika tamko la kuipigia kura ya hapana Katiba inayopendekezwa.

10394843_1182116201802796_1821351593129740253_n.jpg

 
  • Thanks
Reactions: Gor
Na mimi waniite kuhojiwa nasema Pengo ukristo ni imani yetu kwa mafunzo ya bwana wetu YESU KRISTO,MAASKOFU NI WANAFUNZI WAKE HIVYO USITUFANYE TUSI WAAMINI.HIVYO WEWE UTAKUWA MPINGA KRISTO
 
Gwajima hana akili ya kufikiria.

Hapo vipi mkuu?



Mtumishi amesema amemuonya Pengo............."Kwa kutumia maandiko matakatifu Wagalatia 3:1 enyi wagalatia msio na akili ninani aliyewaloga inawezekana (Nikayatumia maneno hayo hayo) Baba Askofu Pengo hakuridhishwa na karipio...ila hata nikikutana naye nitamkemea kama nilivyomkemea........"
 
Back
Top Bottom