Askofu Bagonza: Kuna kitu hakiko sawa

Kwani
Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.kwani kuna mtubalimzui

Mungu anaweza asizuie mararia kifaduro na vingine visiwepo ila anaweza kuzuia vitu hivyo visikudhuru endapo utamuimna kwa imani thabiti.
Lakini pia Raisi wetu alitupa nguvu ya kujiamini na kuondoa hofu, jambo hili pekee ni ushindi thidi corona.
 
Hekima hana na akil hana...asiongee sana maana ana haribu...hata wew pia akili huna ndomana umejib comment kwa ghadhabu..tuseme wote.mim wew na yeye tupo kwenye kapu moja.yaan wote walopokaj na waandikaj kwa mihemko..wote
Km uliwahi kwenda shule ni moja ya watu waliosomea ujinga.
Unataka watu waongee au wawaze jinsi unataka wewe.Duuuh utapata tabu Sana.
 
Kwani chanjo kuchoma ni lazima?
 
Uchaguzi ushaisha mnarudia habari za corona,kipindi cha kampeni wote mlikuwa bize na uchaguzi tu mkishindana kujaza watu wenye kampeni hamkuwa mkitoa tahadhari kwa watu wajikinge na corona kwenye hizo kampeni,ila sasa hivi uchaguzi umeisha ndio mnarudi kupiga kelele za corona.
 
Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo

Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu

Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Hujamwelewa! Mungu yuko kila mahali pakiwemo na hapa hapa duniani.Sasa kama yuko kila mahali kipi cha ajabu Shetani kuwako mahali Mungu aliko?
 
Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo

Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu

Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
KICHWA ngumu wewe au ndo matokeo ya shule za kata, hapo katumia fumbo kufikisha ujumbe, nyie mlisema tanzania mpo na mungu na ndo maana kaanza na tanzania sio makao makuu ya mungu elewa
 
Why mnatoza laki 231200 kwa kipimo cha corona kinachoexpire baada ya siku 14 Hali hatuna corona.
 
Wakati wa kampeni mlikuwa mnasifia watu kujaa kwenye mikutano ya kampeni na watu hawakuwa wakichukua tahadhari zozote za kujikinga na corona,hatukuwa tukiwasikia kuwatahadharisha hao watu japo wavae barakoa ila sasa mnakuja kusema et matatizo ya kushindwa kupumua yameongezeka,et corona ipo chukua tahadhari kana kwamba kipindi cha kampeni corona ilipumzika na ndio maana hamkuwa mkiwaambia watu wachukue tahadhari maana corona ipo.
 
Huyu mchungaji si alifunga kanisa lake wakati ule?
Hakuna corona na wala haiwezi kukaa na sisi...tatizo lake nini?

Sisi tumesema tutaishi nayo kama UKIMWI...Na mpaka sasa Mungu ametusaidia sana na bado ataendelea kutusaidia...

Nadhani ni miongoni mwa propagators wa chanjo hasi ya corona...
 
2nd wave mwamba keyuzeka mbochi as always
 
Kwa ufupi ni agent wa kuzimu huyo...Amevaa tu mavazi ya kiutumishi...Of all the people yeye mkristo kuzikana nguvu za Mungu hadharani unategemea nini?

Yeye kwakufuru hii ataibika kwa mara nyingine tena.

Corona iliingia Tanzania sote tuliiona na kwa imani iliondoka hata kutoleta madhara makubwa na sote tu wafaidika wa muujiza ule wa Mungu...Mungu wa jana ni yuleyule hata leo naye ataendelea kuilinda Tanzania kwa udhihirisho kama alivyofanya kwanza; kwa maneno haya hata kama huko kwao wapo wangonjwa basi watapona wote kwa mara moja ili apate aibu nyingine kwakuzidharau nguvu za Mungu, in Jesus name have I declared...AMEN
 

Atuambie yeye na hawa nani ma expert zaidi kwenye corona?

Huyu katoa explanation ya risks za kufa kwa corona kutuletea povu lote hilo ili iweje?

Agent of desolate places, go to hell with your immoral and evil heart!

Mungu makao yake makuu yapo Tanzania hataki au atake hawezi kuzuia nguvu zake!
 
Huyu anahitajika hata kuchunguzwa usikute ndiyo anayefanya maambukizi kwa siri ku justify demands zake hizi za kuzimu
 
uandishi wako ni duni.
 
Nakazia hapa "afya sio mali ya serikali"
Kama siyo mali ya serikali mbona zikiingia bidhaa sumu na kuua raia tunaipigia kelele serikali?

Get tour facts right guys...Serikali ni mlinzi namba moja wa afya yako hapa duniani...

Ndiyo maana tunapoenda kupiga kura kama raia tuelewe tunaenda kufanya nini...Hatuendi kishabiki tu au kutimiza ratiba...Tuna decide for our fate as a country!

Kuna shida kubwa naiona kwenye critical thinking ya watu wetu na hasa group la vijana...This is very serious, if we do not take it serious hii itatu cost huko mbeleni.
 
Una matatizo, siyo bure. Nakuombea kwa Mungu akuponye, upate faraja ya roho na hekima.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…