Umoja wa Maaskofu wa Katoliki Afrika-CECAM wapinga msimamo wa Papa Francis. Wasema ndoa za jinsia moja ni kinyume na maadili ya Afrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,110
49,823
Umoja wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki Afrika na Madagascar CECAM umepinga msimamo wa Papa wa kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CECAM imesema Maaskofu wa Kiafrika hawatabariki Ndoa za Jinsia Moja kwa sababu ni kinyume na tamaduni za Afrika na Pina Ndoa hizo ni batili kisheria kwenye Nchi nyingi za Afrika.

Hatua hii inaweka ugumu kwenye msimamo wa Papa Francis wa kutaka kuleta reforms kwenye Kanisa Katoliki.

My Take
Ni muda muafala Sasa Kwa Waafrika kuwa na dini Yao yenye Maadili ya Kiafrika tofauti na hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu.

View: https://twitter.com/africanews/status/1745847972116455496?t=J5C1guuRyHvW_M6Um4W6Bg&s=19
 
Umoja wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki Afrika na Madagascar CECAM umepinga msimamo wa Papa wa kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CECAM imesema Maaskofu wa Kiafrika hawatabariki Ndoa za Jinsia Moja kwa sababu ni kinyume na tamaduni za Afrika na Pina Ndoa hizo ni batili kisheria kwenye Nchi nyingi za Afrika.

Hatua hii inaweka ugumu kwenye msimamo wa Papa Francis wa kutaka kuleta reforms kwenye Kanisa Katoliki.

My Take
Ni muda muafala Sasa Kwa Waafrika kuwa na dini Yao yenye Maadili ya Kiafrika tofauti na hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu.
View attachment 2869784
Waarabu hawana dini

Uislamu ni dini ya MWENYEZIMUNGU mmoja, UKRISTO ni dini ya watu kama ilivo dini ya wayahudi na dini nyinginezo

Tunajua na wewe una dini yako na unataka uwaunganishe waislamu,wakristo na dini nyinginezo huko sasa kwa Uislamu utachemka sababu uislamu sio dininya watu wala shetani lakini huko kwingineko inawezekana
 
Ushoga ni utamaduni wa Waarabu na Wazungu. Kwa Waafrika ni ubatili
 
KUWA MKATOLIKI KWA SASA NI KUTUMIKIA DINI INAYOBARIKI UFIR*JI, KWANINI WAAFRIKA MSIJITENGE ?

Tulisema hapa mwanzoni papa karuhusu kubariki wafir*ji mkaanza kujitetea eti hatujaelewa waraka, haya sasa oneni wenyewe maaskofu wenu.

Sauti ya maaskofu wa Afrika ni ndogo sana, HAKUNA KITACHOBADILIKA !!
 
Waarabu hawana dini

Uislamu ni dini ya MWENYEZIMUNGU mmoja, UKRISTO ni dini ya watu kama ilivo dini ya wayahudi na dini nyinginezo

Tunajua na wewe una dini yako na unataka uwaunganishe waislamu,wakristo na dini nyinginezo huko sasa kwa Uislamu utachemka sababu uislamu sio dininya watu wala shetani lakini huko kwingineko inawezekana
Yani wewe hoja huna huo Uislamu ndio laana tupu.Mudi alilala na katoto kamiaka tisa,Mudi alipaka wanja kutembea na kabegi,isitoshe alilala na binti ya mke wake.Halafu wewe una tuletea eti dini ya Mungu.bldfkn zako!
 
Umoja wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki Afrika na Madagascar CECAM umepinga msimamo wa Papa wa kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CECAM imesema Maaskofu wa Kiafrika hawatabariki Ndoa za Jinsia Moja kwa sababu ni kinyume na tamaduni za Afrika na Pina Ndoa hizo ni batili kisheria kwenye Nchi nyingi za Afrika.

Hatua hii inaweka ugumu kwenye msimamo wa Papa Francis wa kutaka kuleta reforms kwenye Kanisa Katoliki.

My Take
Ni muda muafala Sasa Kwa Waafrika kuwa na dini Yao yenye Maadili ya Kiafrika tofauti na hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu.
View attachment 2869784
Madagascar ipo bara lipi?

By the way, hakuna sliosema wabariki ndoa za jinsia moja
 
Yani wewe hoja huna huo Uislamu ndio laana tupu.Mudi alilala na katoto kamiaka tisa,Mudi alipaka wanja kutembea na kabegi,isitoshe alilala na binti ya mke wake.Halafu wewe una tuletea eti dini ya Mungu.bldfkn zako!
Myahudi MKRISTO katika ubora wako

Uislamu haukuanza kupigwa vita leo tena na nyie mayahudi wa jamii forums mkitokea chato,uislamu ulipigwa vita kitambo na wetu wenye uwezo mkubwa uchumi,akili na mamlaka na sio wewe MKRISTO wa chato unaelipwa 5000 kwa siku kuushambulia uislamu
 
Waarabu lini ulisikia wanautetea ushoga hizo ni tamaduni za wazungu haijalishi mzungu wataifa gan. Hao wazungu serikali yako ikiupinga ushoga wanakukatia misaada. Exp M7 wa uganda.
Kubwengana 0713 ni utamaduni wa kiarabu tena enzi na enzi waarabu wanaupenda sana huo mchezo na ndiyo waasisi wa kufukua ushuzi
 
Umoja wa Maaskofu wa Kanisa Katoliki Afrika na Madagascar CECAM umepinga msimamo wa Papa wa kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CECAM imesema Maaskofu wa Kiafrika hawatabariki Ndoa za Jinsia Moja kwa sababu ni kinyume na tamaduni za Afrika na Pina Ndoa hizo ni batili kisheria kwenye Nchi nyingi za Afrika.

Hatua hii inaweka ugumu kwenye msimamo wa Papa Francis wa kutaka kuleta reforms kwenye Kanisa Katoliki.

My Take
Ni muda muafala Sasa Kwa Waafrika kuwa na dini Yao yenye Maadili ya Kiafrika tofauti na hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu.
View attachment 2869784
Africa Ni Muda Muafaka Sasa turejee mwenye MIZIMU...MITI..MAWEMAKUBWA.....
 
Back
Top Bottom