Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,548
Wameenda Mtwara kula korosho zinawasumbua wacheni waliolala walale.Wacha wapashe pashe maana wanaota mpaka vitambi kwa kukosa mazoezi.
Wameenda Mtwara kula korosho zinawasumbua wacheni waliolala walale.Wacha wapashe pashe maana wanaota mpaka vitambi kwa kukosa mazoezi.
Huwezi kuwajua magereza kamaa hujafungwa fanya kosa makusudi then upelekwe segerea ukifika segerea anzisha kavulugu makusudi then utulete mrejesho""""""Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Hao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).
Alafu kuwa mwanajeshi au askari wa jeshi lolote haimaanishi ndio unajua kupigana.
Kupigana ni uwezo wa mtu binafsi.










Nilikuwa na kisimu kidogo wakati mwngin kutembea na smart hasa yenye upana ka yangu inachoshaHamna kideo wala picha bhana. Smart yako unaifanyia nn sasa au umesimuliwa nn
Trafiki "waamulia" ndiyo nini!!!???Lingekuwa gazeti, mambo yangukuwa hivi..
"Askari JWTZ, Magereza watupiana makonde, Trafiki waamulia!
Akuna camera ambayo ingethubutu kuwamulika watZ tunalivyowaoga.Bila picha au kavideo=chai ya mchaimchai
Sijaandika popote kuwa nani ni zaidi na nani si zaidi.wewe askari magereza ni zaidi ya ffu katika kudhibiti vurugu
Na gereza lenye watu elfu ishilini linalindwa na askari magereza Sita tuuMagereza ni Jeshi imara sana la kimya kimya! Wewe fikiria tu Polisi yoyote yule, Jwtz yeyote yule akifungwa anaenda gerezani! Sasa huko gerezani hao askari wanaokaa nao wanakiwango gani cha mafunzo.....Jiulize tu! Na je ushawahi kusikia wafungwa wamewashinda askari Magereza!?
Anyway acha wachapane![]()
Fikra potofu hizo ukomandoo Ni mafunzo maalum ya kupambana na kujihami na maadui, kuvuka vikwazo mbalimbali na si vyeo, komando huwezi mjua kwa sura au tabia Bali Hadi utokee mtiti ndipo utaweza note kitu tupo nao kitaa na Ni watu very humbleMakomando wanapatikana jWTZ yule captain dagaa pitia TBC ndio alituambia, magereza mpaka makomando wa kike wapo wapelekwe ngerengere sasa kama haitarudi mizoga
mkuu, wewe ni GT lakini umetuangusha wenzio.Nilikuwa na ki techno changu kdg nkaona uvivu kuchukua picha,,ila nimepata raha kuona ngumi za makamanda,,,nilifatilia njue wale askari mag walitokea wapi fasta vile aisee walichafua hali ya hewa

Magereza wana kikosi ambacho kiko vizuri kuliko FFU wanagonga ngumi hatari sana



UkongaHicho kikosi kiko wapi makazi yake nkajipitishe cku moja
Sasa urefu wako utakusaidia mbele ya drone za Mmarekani? Hopeless kabisa!!Jeshi la Magereza ndilo bado linasimamia misingi ya kuajiri askari wake kwa VIGEZO VYA TANGU MKOLONI. Mwili uliojengeka, Urefu Stahiki, Utimamu wa mwili, Umri sahihi nk. Kwa mwendo huo Askari huyo akipewa mafunzo stahiki si mchezo.
Huko kwingine ajira za mjomba mjomba zimeharibu Majeshi yetu, utakuta mtu ana Kigugumizi lkn yuko Askari, Mtu Digidigi ni Askari, Matege Askari, Mwili Sikoseli utadhan anadondoka na Upepo naye Askari!
Hongera Jeshi la Magereza kwa ASKARI IMARA miiiiiili Jumba. Hawa wengine sikuhizi wanaajiri mpaka mbirikimo kwahiyo wachapeni tuu, nasema wapigwe tuuu mpaka waaajiri askari kwa Vigezo sio Ukanjanja.