Askari watwangana hadharani

Askari watwangana hadharani

Magereza ni Jeshi imara sana la kimya kimya! Wewe fikiria tu Polisi yoyote yule, Jwtz yeyote yule akifungwa anaenda gerezani! Sasa huko gerezani hao askari wanaokaa nao wanakiwango gani cha mafunzo.....Jiulize tu! Na je ushawahi kusikia wafungwa wamewashinda askari Magereza!?

Anyway acha wachapane
Ila mwanajeshi akifungwa anaenda Military prison. Wana mahabusu na jela zao.
 
Ila mwanajeshi akifungwa anaenda Military prison. Wana mahabusu na jela zao.
Hamna kitu kama icho mahakama ikumtia hatiani anafukuzwa kazi na akufungwa jela za kawaida ila hapo hapo military prison ziko wap hapa tz ?? jibu ni hakuna issue kama izo sana sana kuna sero ambazo huwa wanawekwa ikitokea kuna utovu wa nidhamu
 
Fikra potofu hizo ukomandoo Ni mafunzo maalum ya kupambana na kujihami na maadui, kuvuka vikwazo mbalimbali na si vyeo, komando huwezi mjua kwa sura au tabia Bali Hadi utokee mtiti ndipo utaweza note kitu tupo nao kitaa na Ni watu very humble
umeninukuu vibaya mkuu mi sijahusisha vyeo na ukamando Bali nimenukuu manano ya yule mnyetishaji kwenye hafla za taifa pitia TBC kwamba Tanzania makomando wanapatikana JWTZ. Kwaiyo kama wewe au kikundi flani toka taasisi yeyote mnaopiga tikondo, na martial art vizuri hakuwapi kigezo cha kujiita macommando.

Mkaji rejeste pale ngele ngele mkitoka salama basi mtakuwa mmefuzu. Maana hapa nchini tusifanganyane hakuna taasisi inayatoa mafunzo mazito na makali kama jeshini.
Captain dagaa anakwambia tu kima umbile mwanamke hawezi kuwa commando hata iweje, lakini majeshi mengine uko unakuta mtu anajiita commando, na ndani wana wake wamo. Ambapo hata uko jwtz penyewe hawapo.

Pia uwezo wa kutumia na kucheza na silaha za kijeshi nimuhimu pia kuutazama

Kwa kummalizia kituo cha mafunzo ya makomondo Tanzania tunachokijua kipo ngerengere kama kuna kingine tusaidizane kuvitambua

Ova
 
Bora umemsaidia tu
 
Sasa urefu wako utakusaidia mbele ya drone za Mmarekani? Hopeless kabisa!!
Unadhani walioweka vigezo vya Kijeshi ni Wajinga?? Angalia Maaskari kote duniani walivyojengeka miiili yao unadhani waliowadahili ni Hopeless? Hujui kaaa kimia
 
Magereza kuna kikosi hatari sana CHA Kikosi cha kupambana na ghasia magerezani (KMKGM,) wanavaa tisheti za kijani na wakivaa gwanda wanakuwa na alama ya bluu mabegani, wale ni hatari tupu.
Mkuu kumbe unawajua hao Majitu..... Jamaaa wooote miiiili yao kama Great Kaliii ni habari nyingine hicho kikosi. Anyway tuishie hapo
 
umeninukuu vibaya mkuu mi sijahusisha vyeo na ukamando Bali nimenukuu manano ya yule mnyetishaji kwenye hafla za taifa pitia TBC kwamba Tanzania makomando wanapatikana JWTZ. Kwaiyo kama wewe au kikundi flani toka taasisi yeyote mnaopiga tikondo, na martial art vizuri hakuwapi kigezo cha kujiita macommando.

Mkaji rejeste pale ngele ngele mkitoka salama basi mtakuwa mmefuzu. Maana hapa nchini tusifanganyane hakuna taasisi inayatoa mafunzo mazito na makali kama jeshini.
Captain dagaa anakwambia tu kima umbile mwanamke hawezi kuwa commando hata iweje, lakini majeshi mengine uko unakuta mtu anajiita commando, na ndani wana wake wamo. Ambapo hata uko jwtz penyewe hawapo.

Pia uwezo wa kutumia na kucheza na silaha za kijeshi nimuhimu pia kuutazama

Kwa kummalizia kituo cha mafunzo ya makomondo Tanzania tunachokijua kipo ngerengere kama kuna kingine tusaidizane kuvitambua

Ova
Muda mwingine ukiambiwa shirikisha na ubongo wako ukifanya mazoezi hakuna kinachoshindikana usikariri kila kitu.
 
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza

Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!

Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.

Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani

Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
Waache wauane na sisi huku mtaani hatuko salama, ningesikitika kama RAIA ndiye amepigwa ni katikati ya mwezi wana ration wamejaa mifukoni wameshiba hao mkuu.
 
Back
Top Bottom