Askari watwangana hadharani

Askari watwangana hadharani

Mkuu kumbe unawajua hao Majitu..... Jamaaa wooote miiiili yao kama Great Kaliii ni habari nyingine hicho kikosi. Anyway tuishie hapo
Nawajua sana zamani nilishakuwa mmoja wao chini ya Kamanda Tesha, halafu nikakimbia huko.
 
Ila mwanajeshi akifungwa anaenda Military prison. Wana mahabusu na jela zao.
Mahabusu = Cell
Gereza = Prison

Jeshi lina mahabusu sio gereza, hata askari magereza mana mahabusu zao.kwa ajilinya askari magereza.

Mahabusu za kijeshi ni kwa ajili ya makosa ya kijeshi.

Ikiwa jinai wote raia ,magereza,trafiki,jw,ffu,polisi,comando,mp, wote tunakutana Segerea,Keko,Ukonga na kwingineko.
 
Niliwahi kusema na ninasema.. kama ni ishu ya mkono.. hakuna jeshi la kuwashinda MAGEREZA... mm nimeishi nao wote hao.. MAGEREZA VUMBI LAKE SI LA KITOTO.. UNAKULA MCHEMSHO MIXER NDIZI CHOMA..
Wapo wanajeshi pia wakikuwekea mwichi unakaa.. ila wale madogo wa MAGEREZA wanakalisha hao wenzao..
 
vijeshi vya third world visivyo na discipline wala training

nani kawahi kuona wanajeshi wanapigana mtaani Ulaya?

Hussein Mwinyi ana hati miliki Uwaziri wa Ulinzi?
 
Hao watakua Kikosi Maalumu Kutuliza Ghasia Magerezani ( KMKGM) wao kazi yao ni maalumu kudeli nawafungwa wakorofi na kutuliza ghasia Magerezana.Escort za wafungwa /mahabusu hatari! Nadhani hao jamaa wana hata stress za kutoongezewa mishahara!
 
Muda mwingine ukiambiwa shirikisha na ubongo wako ukifanya mazoezi hakuna kinachoshindikana usikariri kila kitu.
Hahaha kwaiyo unataka kujipa ukamomdo basi haina shida ila siku ukijichanganya kwa jamaa makomando halisi maini na vifogo vyako vikatengenishwa na ya dakika mmoja Mimi sitakuwepo penda kuheshimu taaluma za watu

Ova
 
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza

Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!

Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.

Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani

Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
Wamemchukua hospitality?
 
Niliwahi kusema na ninasema.. kama ni ishu ya mkono.. hakuna jeshi la kuwashinda MAGEREZA... mm nimeishi nao wote hao.. MAGEREZA VUMBI LAKE SI LA KITOTO.. UNAKULA MCHEMSHO MIXER NDIZI CHOMA..
Wapo wanajeshi pia wakikuwekea mwichi unakaa.. ila wale madogo wa MAGEREZA wanakalisha hao wenzao..
 
Siyo askari magereza wote ni Ndugai.kuna kile kikosi maalumu (KM) cha magereza ni zaidi ya komandoo.JWTZ wasije wakajidanganya wajichanganye tena watadhalilka.Jwtz ni ubabe ubabe tu.lakink.akili yankufight ya hao KM ni ya kiwango cha juu.yaani.wale ndiyo wanaowalinda wahalifu wenye uwezo wa kikomandoo.akina scopion.
 
askari magereza lazima wawe vizuri think watu walioshindikana huku mtaani wao ndio wanaishi nao, unategemea watakuwa ni watu wa mchezo mchezo
very true na wazee wa mabakabaka siku zote wanamweshimu askari magereza sio polisi
 
Nyie ndio unakuta mtu kavaa nguo ya marehemu babu yake ya bakabaka mnafolenishwa na wake zenu,kitu kitskschokusababisha upigwe ni hofu na kutokujiamini ila heshima ni muhimu.
Hahaha kwaiyo unataka kujipa ukamomdo basi haina shida ila siku ukijichanganya kwa jamaa makomando halisi maini na vifogo vyako vikatengenishwa na ya dakika mmoja Mimi sitakuwepo penda kuheshimu taaluma za watu

Ova
 
Hao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).
Alafu kuwa mwanajeshi au askari wa jeshi lolote haimaanishi ndio unajua kupigana.

Kupigana ni uwezo wa mtu binafsi.
Niliwahi kumtandika MTU ngumi moja alienizidi kiumbo na urefu sikurudia alilazwa wiki nzima nilikwenda hospital na escoti ya askari kumuomba msamaha nililipa gharama zote za matibabu
 
Nyie ndio unakuta mtu kavaa nguo ya marehemu babu yake ya bakabaka mnafolenishwa na wake zenu,kitu kitskschokusababisha upigwe ni hofu na kutokujiamini ila heshima ni muhimu.
Hahahaha sijui ngumi kweli ila siku ikitokea kamanda yeyote kajichanganya kuleta ukamanda wake ntamtoa kishipa kwetu kule kwa mzee msisi tanga
 
Back
Top Bottom