Askari watwangana hadharani

Askari watwangana hadharani

Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.

Endelea kujidanganya
 
Jeshi la Magereza ndilo bado linasimamia misingi ya kuajiri askari wake kwa VIGEZO VYA TANGU MKOLONI. Mwili uliojengeka, Urefu Stahiki, Utimamu wa mwili, Umri sahihi nk. Kwa mwendo huo Askari huyo akipewa mafunzo stahiki si mchezo.
Huko kwingine ajira za mjomba mjomba zimeharibu Majeshi yetu, utakuta mtu ana Kigugumizi lkn yuko Askari, Mtu Digidigi ni Askari, Matege Askari, Mwili Sikoseli utadhan anadondoka na Upepo naye Askari!
Hongera Jeshi la Magereza kwa ASKARI IMARA miiiiiili Jumba. Hawa wengine sikuhizi wanaajiri mpaka mbirikimo kwahiyo wachapeni tuu, nasema wapigwe tuuu mpaka waaajiri askari kwa Vigezo sio Ukanjanja.
 
Kuwa JW au Magereza haimaanishi wewe utakuwa na nguvu kuliko mwingine.Ukiwa askari na haufanyi mazoezi ya kutosha unakuwa mzembe tu Kuna jamaa yangu aliwahi kuwatandika wanajeshi watatu kama wamesimama hivi.Alianza mmoja akapigwa akapiga simu kwa wenzake nao wakachezea kichapo akawafungia kaunta bar.
 
Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Ffu ni sehemu ambayo anapelekwa askari yeyote tu hasa asiye na nidhamu au anayekwazana na wazee ili akafe na njaa(marupurupu machache) mafunzo yao ni mepesi mno achilia mbali Yale ya awali ambayo ni mepesi zaidi,,Magereza sijafatlia sana ila hata kwa mwonekano wanaonekana wako fit mzee
 
Kuwa JW au Magereza haimaanishi wewe utakuwa na nguvu kuliko mwingine.Ukiwa askari na haufanyi mazoezi ya kutosha unakuwa mzembe tu Kuna jamaa yangu aliwahi kuwatandika wanajeshi watatu kama wamesimama hivi.Alianza mmoja akapigwa akapiga simu kwa wenzake nao wakachezea kichapo akawafungia kaunta bar.
Liongo
 
Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Usiingie kwenye 18 ya magereza
Mafunzoni sjui Jordan etc wao ni kutoa kipondo tu
Askari magereza hawajawahi kushindwa battle naona sahv hyo mjedah yko icu

Ova
 
Taarifa za jf nazo si za kuziamini sana bila picha ama video.askari mpaka wanakunjana basi hawajatambuana.

Taarifa ya juzi kwamba magereza na polisi wamepigana saa zima na mabomu ya machozi, nimefuatilia ni ujinga mtupu uliandikwa hapa.

Hii nayo yaweza kuwa chai tu.
 
Mazingira tu ya kazi ya askari magereza lazima awe fit sana...wanaishi na watu walioshindikana uraiani...
 
Back
Top Bottom