Askari watwangana hadharani

Askari watwangana hadharani

Taarifa za jf nazo si za kuziamini sana bila picha ama video.askari mpaka wanakunjana basi hawajatambuana.

Taarifa ya juzi kwamba magereza na polisi wamepigana saa zima na mabomu ya machozi, nimefuatilia ni ujinga mtupu uliandikwa hapa.

Hii nayo yaweza kuwa chai tu.
Kwanini nidanganye mkuu
 
Mwanangu ungekuwepo kuna lijamaa refu hivi limemshika jwt likambana mapajani hakufurukuta,,alafu likachukua T-shirt yake ya kijani likaivua na kuitupa kwenye mtalo cjui lilikuwa lina maanisha nini
Kwamba hata picha moja ilikushinda.

Hii ni ftari bila mkeka.
 
WE ONA HUYU MDUDU ALIYO ANATISHA
images-3.jpeg
 
Utimamu wa mwili haujalishi weee ni Jw,Raia,FFU,KM ama Komando.
Yeyote hapo anaweza kupigwa muda wowote,wakati wowote.

Magereza huwa hawana kiburi kama JW.
Jw huwadharau majeshi mengine na kulewa sifa za.kitoto wanazopewa na raia.

JW wengi ngumi hawajui kabisa niweupe ila wanadhani nguvu zinatokana na magwanda waliyo vaa.
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza

Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari magereza kuona anataka kuzidiwa akapiga simu ndipo baada ya muda mfupi wakatokea majamaa wawili wamevaa T-shirt za kijani nadhani za magereza,,,duh!!

Sikiuamini kama magereza wanajiamini vile kiufupi wameonesha umahiri,wamewachapa wale mabaka baka hadi mmoja nadhani jicho litakuwa limetolewa maana linaonekana kama limechanwa kabisa.

Wametokea traffic wameamua ugomvi na kumchukua mwanajeshi majeruhi hospitality nadhani

Nimesikitika kwanini askari wetu wadhalilishane mbele za RAIA?? Vijana wa kileo wanaoajiliwa maadili hakuna
 
Jeshi la Magereza ndilo bado linasimamia misingi ya kuajiri askari wake kwa VIGEZO VYA TANGU MKOLONI. Mwili uliojengeka, Urefu Stahiki, Utimamu wa mwili, Umri sahihi nk. Kwa mwendo huo Askari huyo akipewa mafunzo stahiki si mchezo.
Huko kwingine ajira za mjomba mjomba zimeharibu Majeshi yetu, utakuta mtu ana Kigugumizi lkn yuko Askari, Mtu Digidigi ni Askari, Matege Askari, Mwili Sikoseli utadhan anadondoka na Upepo naye Askari!
Hongera Jeshi la Magereza kwa ASKARI IMARA miiiiiili Jumba. Hawa wengine sikuhizi wanaajiri mpaka mbirikimo kwahiyo wachapeni tuu, nasema wapigwe tuuu mpaka waaajiri askari kwa Vigezo sio Ukanjanja.
Hili laweza kuwa kweli maana Leo limekuja jamaa refu limeshiba limemshika jet ka kuku likambana mapajani alooo ilikuwa show nxr
 
Kuwa JW au Magereza haimaanishi wewe utakuwa na nguvu kuliko mwingine.Ukiwa askari na haufanyi mazoezi ya kutosha unakuwa mzembe tu Kuna jamaa yangu aliwahi kuwatandika wanajeshi watatu kama wamesimama hivi.Alianza mmoja akapigwa akapiga simu kwa wenzake nao wakachezea kichapo akawafungia kaunta bar.
Hapo unavujisha siri mkuu.
 
Hao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).
Alafu kuwa mwanajeshi au askari wa jeshi lolote haimaanishi ndio unajua kupigana.

Kupigana ni uwezo wa mtu binafsi.
Hajui kama kuna Raia anamkalisha Msoja kilaini tu, sema jamaa ni wepesi wa kuitana na kuanza kuchangia.
 
Ndo tabu ya kufanya mazoezi alafu hakuna pa kuyatumia, watafutieni hata vita ya kirafiki na Congo
 
Magereza kuna kikosi hatari sana CHA Kikosi cha kupambana na ghasia magerezani (KMKGM,) wanavaa tisheti za kijani na wakivaa gwanda wanakuwa na alama ya bluu mabegani, wale ni hatari tupu.
Hicho kikosi kiko wapi makazi yake nkajipitishe cku moja
 
Back
Top Bottom