Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,347
Hizo ndozo laana
Watakutana na karandinga zipo standby, kwani nini bana.We subiri IVECO zikajazwe mafuta.
Na hiyo manati ya kazi gani hapo

Watakutana na karandinga zipo standby, kwani nini bana.

kwahiyo wakimwaga mbonga wao wanabeba ugali na kutokomea.Na hiyo manati ya kazi gani hapo![]()
Aisee jamaa lililomtia jwt mapajani Leo lilikuwa zaidi ya hili


Wewe Unamchokoza jiwe sasa, mwenyewe katulia mnaanza kumtibuaAskari ni raia namba moja.



Hili ni la kuchekesha we unasikitikaje?
Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
Kuna utofauti mkubwa sana wa mafunzo yao.FFU,MAGEREZA,JWTZ wote wamepitia mafunzo ya kijeshi hapo hakuna wakumuonea mwenzie wote wamepitia mafunzo ya kijeshi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣angalia tu usije kuwa kama Akwilina, we still love you.
Hiyo itakuwa ajali kazini😂😂
Ila wazoefu wa mikasa ya mitaani hatufagi kizembe zembe
Kwenye basic military training hakuna tofauti.Kuna utofauti mkubwa sana wa mafunzo yao.
Kabisa,kwahiyo wakimwaga mbonga wao wanabeba ugali na kutokomea.