Askari wa JWTZ wazagaa na bunduki mitaani huko Arusha

Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Hawana lolote andamaneni wao ni walinzi wa wananchi🤣
 
JWTZ kama baadhi yenu mpo humu jukwaani, basi mnatakiwa mjitafakari. Mimi sitawatukana. Isipokuwa nitawapa tu ushauri wa bure.

Wakati mwingine wekezeni nguvu kubwa kwenye ulinzi wa raslimali za Taifa mfano madini, wanyama, pembe za ndovu, fedha za walipa kodi, bahari, nk. Badala ya kuhangaika kuwalinda watawala walioingia madarakani kwa njia za hila, ikiwemo wizi wa kura!

Pia mnatakiwa kufahamu hiyo mishahara na posho mnazolipwa zinatokana na kodi za wananchi hao hao mnaowazuia kuandamana ili tu kudai haki zao za msingi kutoka kwa watawala viziwi na wenye dharau.
Shida kubwa ya nchi hii ni kuwapa watoto wenye njaa posho na ukawashimisha bunduki...hii ni hatari
 
JWTZ kama baadhi yenu mpo humu jukwaani, basi mnatakiwa mjitafakari. Mimi sitawatukana. Isipokuwa nitawapa tu ushauri wa bure.

Wakati mwingine wekezeni nguvu kubwa kwenye ulinzi wa raslimali za Taifa mfano madini, wanyama, pembe za ndovu, fedha za walipa kodi, bahari, nk. Badala ya kuhangaika kuwalinda watawala walioingia madarakani kwa njia za hila, ikiwemo wizi wa kura!

Pia mnatakiwa kufahamu hiyo mishahara na posho mnazolipwa zinatokana na kodi za wananchi hao hao mnaowazuia kuandamana ili tu kudai haki zao za msingi kutoka kwa watawala viziwi na wenye dharau.
Mkuu wao yupo upande upi?. Yupo upande wa Watawala au Maslahi ya Taifa?
 
Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Picha zipo wapi?
 
Kinga ni bora kuliko tiba, atokee tu mvuta bangi moja jeshi kinachojua ni kuua na kuvunja hao si polisi sijui wakukamate, hiyo hapana! Lazima wachukue tahadhari kuna wapumbavu wanahamasisha ghasia na vurugu humu mitandaoni
 
Back
Top Bottom