Askari wa JWTZ wazagaa na bunduki mitaani huko Arusha

Askari wa JWTZ wazagaa na bunduki mitaani huko Arusha

Wapuuzi sana na hawajitambui
Nilijua siku zote we ni mpumbavu umeteka wajinga kwa stori zako za Abunuwasi! Pili we na nyumbu wenzio mnafaidika na vurugu, ghasia na wizi wa mali. Mpuuzi moja usiye na aibu, we ni mpare wa wapi mpumbavu hivyo? Au unachafua tu makabila ya watu?
 
Mkuu wao yupo upande upi?. Yupo upande wa Watawala au Maslahi ya Taifa?

Hakuna maslahi ya taifa hao wanatumwa kulinda maslahi ya watawala wachache

watatumika sana na ipo siku na wao watachoka kutumika ovyo

mapinduzi hayaletwi na askari wakubwa haohao wadogo ndio mara nyingi wanaleta habari njema kwa jamii
 
Nilijua siku zote we ni mpumbavu umeteka wajinga kwa stori zako za Abunuwasi! Pili we na nyumbu wenzio mnafaidika na vurugu, ghasia na wizi wa mali. Mpuuzi moja usiye na aibu, we ni mpare wa wapi mpumbavu hivyo? Au unachafua tu makabila ya watu?
Kiboko yenu M23. Mlipigwa mkakimbia. Mmebaki kuonea wananchi.
 
ni kujidanganya tu sababu hio pain yako mwenye kipato cha papatu papatu haitakuwa sawa na ya fisadi anayemiliki billion 50 za wizi ilihali bado yupo kwenye payroll.
Anazungumzia hao wanajeshi ambao wao kazi yao ni kuwapigania mafisadi huku mrija huo wa ufisadi haupiti kwao.
 
Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uKatik

Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
Niliwaona juzi,katika kila beria ya Police au Traffic wapo na bunduki nzito
 
JWTZ kama baadhi yenu mpo humu jukwaani, basi mnatakiwa mjitafakari. Mimi sitawatukana. Isipokuwa nitawapa tu ushauri wa bure.

Wakati mwingine wekezeni nguvu kubwa kwenye ulinzi wa raslimali za Taifa mfano madini, wanyama, pembe za ndovu, fedha za walipa kodi, bahari, nk. Badala ya kuhangaika kuwalinda watawala walioingia madarakani kwa njia za hila, ikiwemo wizi wa kura!

Pia mnatakiwa kufahamu hiyo mishahara na posho mnazolipwa zinatokana na kodi za wananchi hao hao mnaowazuia kuandamana ili tu kudai haki zao za msingi kutoka kwa watawala viziwi na wenye dharau.
Hilo unatushauri wewe na hata wengi wetu tupo upande wa raia wetu.Ila siwezi kumalizia comment yangu.
 
Back
Top Bottom