Askari wa JWTZ wazagaa na bunduki mitaani huko Arusha

Askari wa JWTZ wazagaa na bunduki mitaani huko Arusha

Ukweli lazma usemwe na ndio maana licha ya maisha kuwa tight mafuta bei juu ila kuna mtu mahali hazimi toyota crown yake akiingia supermarket kufanya shopping. Inaweza unguruma hata lisaa limoja hawazi
utakuta mtu asiye na uwezo wa kumiliki gari anamtaka huyo mwenye toyota crown naye ashiriki maandamano ya kuvunja maduka ya watu.
 
Michadema sio Jeshi tu ❗️

hata wananchi wenye Akili hawawataki kabisa✍️
 
Kumeanza kuchangamka.

Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.

Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.

Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.

Kisiwa chetu cha amani kinaoiteza sifa zake kila uchwao.
ndio tatizo la hii inch

ujue vyombo vya usalama vyenyewe ndio vinavyoanzisha taharuki

sasa wanatembea na silaha barabarani za nini?
 
Back
Top Bottom