Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

Unahama lini aisee maana.. mama hillary kapiga chini tayari. Usisahau kunikabidhi funguo za nyumba
 
Kama una samani za ndani na vitu vingine vizuri vizuri naomba uniuzie kabla ya kuhamia nchi nyingine
Hii itakusaidia kukupunguzia mizigo wakati was safari
 
jamani alikua anatania. .
mbona hata wakubwa wanataniaga..!
 
Kama atashindaa ntaendelea kuishi Tanzania

Iwapo atashindwa nawambii na nyumba nawapa naondoka na begi la mgongoni nawaachia nchi yenu

Welcome our next president of USA Hillary R Clinton

View attachment 431199
Ulidhani ni uchaguzi ambao matokeo yakiwa tofauti mwenyekiti wa tume ana ahirisha uchaguzi na kufuta matokeo yote??
 
Back
Top Bottom