Mkuu ushapanda ndege?Kama atashindaa ntaendelea kuishi Tanzania
Iwapo atashindwa nawambii na nyumba nawapa naondoka na begi la mgongoni nawaachia nchi yenu
Welcome our next president of USA Hillary R Clinton
View attachment 431199
Kama atashindaa ntaendelea kuishi Tanzania

Pole sana, Siasa hazitabiriki, nilikuwa napenda mama ashinde, lakini wiki moja kabla nilisoma alama za nyakati nikagundua kuwa mama anapambwa sana na vyombo vya habari kuliko uhalisia.
No more miracle? It is over.Mapema kusema hivo
We too believe in miracle
No more miracle? It is over.
Kama atashindaa ntaendelea kuishi Tanzania
Iwapo atashindwa nawambii na nyumba nawapa naondoka na begi la mgongoni nawaachia nchi yenu
Welcome our next president of USA Hillary R Clinton
View attachment 431199
Kauli kama hizo asipozitekeleza zitamtafuna hata vizazi kumi vijavyoooUmeshafungasha mizigo yako mkuu?
Unahama kama mhamiaji haramu ama mhamiaji halali?
Naomba uwe salama huko uendako. Lazima uende wa sababu ulitabiri. Ukitaka kuepuka uhamiaji wa lazima, inakupasa kufuta kauli yako vinginevyo utajikuta katika mazingira mageni bila kutaka. Futa hizo kauli zisizo na macho kwa maslahi yako na uzao wako.