Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

Mwe! Mama Clinton nazidi kukuombea utokee muujiza ushinde
 
We jiandae2 kuama maana kwa muelekeo huu Clinton kushinda ni ndoto mpaka sasa ana 215 mwenzake ana 254 unategemea atapindua makeo kwel! Sjui unahamia wap mwenzetu.
244 Trump kwa 215 Clinton so far. Kuwa potus lazima ufikishe 270
 
Upo sahihi kabisa, maana Trump hataki kulea lea wasio na kazi wale bure!!, heri yako umeonyesha nia [emoji41] !!
Haya sasa kijana hapa nilipopanga kuna chumba kimoja kodi ni 12kilo per month naweza kuongea na mwenyw nyumba hana shida, maana usiyempenda huyoooooo[emoji23] !!
Pdidy
 
Yule aliyesema Hillary akishindwa anaondoka Tanzania mmeshampa nauli jamani manake safari yake imekwiva. Ajiandae kupaki tu mabegi yake manake Trump is trumping all the way to the White House.
Yawezekana jamaa mwenyewe siyo mtz
 
Kama atashindaa ntaendelea kuishi Tanzania

Iwapo atashindwa nawambii na nyumba nawapa naondoka na begi la mgongoni nawaachia nchi yenu

Welcome our next president of USA Hillary R Clinton

View attachment 431199
Ungekuwa hutumii ID fake ningeamini kidogo kiapo chako.Maana unajua hakuna atakayekuja kukudai hiyo nyumba mara baada ya mama Hilary kushindwa.
 
Back
Top Bottom