Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

Mida hii utakuwa unavuka boda ya Rusumo kuingia Rwanda I guess.
 
Ondoka sasa, mwanaume ashachukua chaka, Mseveni mav debe Kampala
 
Kama atashindaa ntaendelea kuishi Tanzania

Iwapo atashindwa nawambii na nyumba nawapa naondoka na begi la mgongoni nawaachia nchi yenu

Welcome our next president of USA Hillary R Clinton

View attachment 431199

Angalia huyu mwehu anaeitwa PDiddy....mwehu asiejua hata kuandika...sijui mijitu kama hii inaruhusiwa vipi kuandika kwenye platform kama hizi na very poor writting skills kama hizi..

Rudi kajifunze kuandika na kuunba sentensi...shame on u
 
habari za wapi mkuu...mi nilikuwa nataka TV tu naamini hujahama nayo...
 
vipi umeshaanza kuondoka? maana mzee keshachukua nchi kule
 
Kama atashindaa ntaendelea kuishi Tanzania

Iwapo atashindwa nawambii na nyumba nawapa naondoka na begi la mgongoni nawaachia nchi yenu

Welcome our next president of USA Hillary R Clinton

View attachment 431199
Haya jitayarishe kuhama Mjomba....usiyempenda kachukua nchi

Sent from mTalk
 
Angalia huyu mwehu anaeitwa PDiddy....mwehu asiejua hata kuandika...sijui mijitu kama hii inaruhusiwa vipi kuandika kwenye platform kama hizi na very poor writting skills kama hizi..

Rudi kajifunze kuandika na kuunba sentensi...shame on u
kuunba[emoji36][emoji36][emoji36] !!!!!!!
 
Umeshaenda kwenu sudan?maana tayari,au unabadilisha ID?
 
Museveni naskia hajulikani alipo tangia alipo tangazwa King Trump hahhhaha. piddy nae naskia yupo boda ya Namanga anakimbilia Kenya more update nitaziweka hapa
 
Mie nilikuwa kwa Mama Hillary, bahati haikuwa yake! kuna thread nimeeleza hisia zangu, mwana JF mwenzetu Elungata akanishauri kuwa nipate japo 'POMBE ' ili niwe na amani. Naomba mwenye kujikia kunifariji anitumie vijisenti vya kunywea pombe kwa halopesaaa 0629 53 37 64 natanguliza shukrani haahahahahahahah
MIMI NIMEFURAHI SANA HUYU NDEGE MWENZANGU KUSHINDA MAANA TUNASIFA MOJA NA YEYE ILE YA KUPENDA KUCHEZEA *********I

TIGO PESA INAHUSIKA KWAKO KUKUFARIJI
pm namba ya tigo
 
Ngoja niku pm ahahahahah
 
Mie nilikuwa kwa Mama Hillary, bahati haikuwa yake! kuna thread nimeeleza hisia zangu, mwana JF mwenzetu Elungata akanishauri kuwa nipate japo 'POMBE ' ili niwe na amani. Naomba mwenye kujikia kunifariji anitumie vijisenti vya kunywea pombe kwa halopesaaa 0629 53 37 64 natanguliza shukrani haahahahahahahah
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Tukutane bilcanas[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom