Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

Mkuu natumaini saizi upo na Virago vyako mpakani unaondoka nchini......
 
Mie nilikuwa kwa Mama Hillary, bahati haikuwa yake! kuna thread nimeeleza hisia zangu, mwana JF mwenzetu Elungata akanishauri kuwa nipate japo 'POMBE ' ili niwe na amani. Naomba mwenye kujikia kunifariji anitumie vijisenti vya kunywea pombe kwa halopesaaa 0629 53 37 64 natanguliza shukrani haahahahahahahah
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
waachieni wamarekani nchi yao. mlifikir ni nyie. wale wanatest mabadiliko kila miaka 8 ya uongozi unaokuja sahivi wapo republican baada ya miak 8 warudi democratic. nyie tz ccm ina ishi milele kimya wote. .......... hongera american
 
Katika siku niliyocheka na kufurahi ni pamoja na leo
 
Haya ndiyo matatizo ya kumtukana mamba kabla ya kuvuka mto.
 
Pdidy hapa kachemka kweli kweli harudi kwenye thread ..binafsi kanichekesha na hizi response za watu in shida
 
Back
Top Bottom