Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

Hiyo Ina Bomba Mbili Si Moja Kama Phonex
Swala ndiyo ipoje au ni ile BMW yako?
images%20(3).jpg
 
Vijana wake 70 ni Kataa ndoa, wakati wameoa na mitoto mitatu mitatu.
Wote ni mabingwa na mafundi wa kuchakata mbusususu.
90%hawamkubali bashite
Wote Wana connection na michongo ya maana
-Rais wao ni Mshana Jr jamaa anakubalika sana
Wote et hawamkubali Lucas mwashambwa ,
Mtu anayefuatiliwa zaid ni GENTAMYCINE
Mwalimu maarufu zaidi ni Mpwayungu Village
Uzi maarufu zaidi ni wa mzinzi rikiboy wa kula kimasihara
Aliyeshinda miss jf ni kibibi kibishi balaa @Faizafox
Mzee wa pumba ni @ZeroIQ
Bila kumsahau Tajiri no . 1 if akifa aozi Bwana @kidukulilo
 
Mimi napenda kushinda jukwaa la biashara sijui kwa nn au ntakuwa enterprenuer wa hatari siasa ni mchezo mchafu na mapenzi ni sumu ndio maana sijawahi ingia humo
Basi nakushauri endelea kushinda hukohuko wasije wakakufilisi kamtaji kako
 
Vijana wake 70 ni Kataa ndoa, wakati wameoa na mitoto mitatu mitatu.
Wote ni mabingwa na mafundi wa kuchakata mbusususu.
90%hawamkubali bashite
Wote Wana connection na michongo ya maana
-Rais wao ni Mshana Jr jamaa anakubalika sana
Wote et hawamkubali Lucas mwashambwa ,
Mtu anayefuatiliwa zaid ni GENTAMYCINE
Mwalimu maarufu zaidi ni Mpwayungu Village
Uzi maarufu zaidi ni wa mzinzi rikiboy wa kula kimasihara
Aliyeshinda miss jf ni kibibi kibishi balaa @Faizafox
Mzee wa pumba ni @ZeroIQ
Bila kumsahau Tajiri no . 1 if akifa aozi Bwana @kidukulilo
Umetisha sana
 
Back
Top Bottom