Mimi kuanzia sasa ni member mpya wa JF

Lemme say this

JF-Expert Member
Nov 4, 2023
396
1,063
Habarini wakuu,

Mimi jina langu, ni San na ni mgeni wa hapa JF.

Lengo langu la kujiunga hapa ni kutaka kupata maarifa na ushauri kwa baadhi ya members wa humu na pia ninapenda sana kusoma riwaya na visa vya kweli na moja ya riwaya iliyonivutia humu ni "Nilimdhania kahaba kumbe bikira" ya mkuu singanojr na true story iliyonivutia na kupelekea mpaka nimefungua ID ni hii ya mkuu INSIDER MAN aisee ni nzuri maana Kuna member wanahangaika na arosto zao

Nimekuwa nikifuatilia JF tangu mwaka Jana na leo hii nimeona nifungue ID nipate kuchangia mada na kupata ushauria pia kujirekebisha pale ninapo kosea

NB: mimi sio CCM..!!

Uzi tayari
 
Habarini wakuu,

Mimi jina langu.ni My ownself na ni mgeni wa hapa jf
Lengo langu la kujiunga hapa ni kutaka kupata maarifa na ushauri Kwa baadhi ya members wa humu na pia ni napenda sana kusoma riwaya na visa vya kweli na moja ya riwaya iliyonivutia humu ni "Nilimdhania kahaba kumbe bikira" ya mkuu singanojr na true story iliyonivutia na kupelekea mpaka nimefungua ID ni hii ya mkuu INSIDER MAN aisee ni nzuri maana Kuna member wanahanvaika na arosto zao

Siyo GENTAMYCINE wewe kwi?
 
Hilo neno, uzi tayari, linaniambia wewe ni mwenyeji humu ila umekuja na ID nyingine
 
Habarini wakuu,

Mimi jina langu, ni My ownself na ni mgeni wa hapa JF.

Lengo langu la kujiunga hapa ni kutaka kupata maarifa na ushauri kwa baadhi ya members wa humu na pia ninapenda sana kusoma riwaya na visa vya kweli na moja ya riwaya iliyonivutia humu ni "Nilimdhania kahaba kumbe bikira" ya mkuu singanojr na true story iliyonivutia na kupelekea mpaka nimefungua ID ni hii ya mkuu INSIDER MAN aisee ni nzuri maana Kuna member wanahangaika na arosto zao

Nimekuwa nikifuatilia JF tangu mwaka Jana na leo hii nimeona nifungue ID nipate kuchangia mada na kupata ushauria pia kujirekebisha pale ninapo kosea

NB: mimi sio CCM..!!

Uzi tayari
Karibu sana,ila chawa au uchawa,ufisadi,rushwa sio dili kwa taifa letu kama ilivyo kwa wadau wengi waliopanda jukwaani humu.
 
Back
Top Bottom