Tukichunguzana sana,mtanzania halisi ni job ndugai peke yake
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Nini sababu ya majina Yao kuwa sio na asili ya Tanzania kama tulivyozoea mikoa mingine
Weka picha chache za hizo pisi kunogesha uzi basiNB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
MaescronBila kusahau maeneo ya Bargish, Anslay na Ampa
EndamanangENDAROFTA
Wameru ni wachagga waliochangamkaWazawa wa Arusha na manyara si wabantu; wairaqw(wambulu), wamaasai, wahadzabe, wote sio wabantu, lugha zao ni za tofauti sana ndo maana unaona wana maneno ya ajabu
Wameru tu ndo wabantu
Hahahahahaha sawa sawa nlikaa lodge moja jirani na msikiti miezi miwiliMkuu inaitwa Orng’adida…..
yan hapo kwenye NB ndo umeandika pointHii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
*Dongobesh
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
Acha uongo wew,,, tupo tough pia.Wakaka wavivu na mmelegea kama tembele lililoiva
Kuna chapati nzuri sana hapoMasqaroda
Unapiga unasepa tuSiku moja nilienda Mbulu dukani nilikutana na demu mkali mzuri kama mkorea vile kafunga mtoto mgongoni na anaongea kimbulu kidogo niombe namba ila nikakumbuka kwenye kile kikao chetu huwa tunaonywa sana.
Ndio hao hao wairaqwKuna jamii ya watu kama wairaq huko Ethiopia/Eritrea. That explains something.
Kweli kabisa, Ethiopia/EritreaWanyaturu na wambulu ni cushtic kiasili.
Sema wanyaturu wamechanganyika zaidi kwa kiasi kikubwa na makabila ya kibantu kupelekea kupoteza DNA yao ya asili kwa kiasi kikubwa, lakini dialectically Nyaturu people bado inaingiliana na moja ya makabila kule Ethiopia yenye asili ya Kushi.
Hivyo tu kwa uchache!
Na mjomba wake Matonya the great Berger!Tukichunguzana sana,mtanzania halisi ni job ndugai peke yake
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ni Wairaqw. Siyo Wairaqwi. Pia Wambulu na Wairaqw ni watu hao hao. Mbulu ni jina la eneo. But kabila ndo Wairaqw.Sndio wanatamka hivyo, nawewe ni muiraqwi? Au wewe ni mu iran