Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,399
- 20,580
Kula tuMinathibitisha, nshawala wambulu wawil ndani ya week moja, hawajui kukataa, na sio kwamba wanajiuza ukiangalia wanajiheshimu tu
Kula tuMinathibitisha, nshawala wambulu wawil ndani ya week moja, hawajui kukataa, na sio kwamba wanajiuza ukiangalia wanajiheshimu tu
[emoji1787] huku dar hawapatikan nataka niwafuate, ile wale ukimpa tu buku5 anashukuru balaaKula tu
Ni wapiAsili yao sio Africa...
Wapo makabila meng Manyara, Kuna weusi kabisa, weng weupw ni wambuluMmmh hz sura mbona cyo wale weupe ww
Watafute utawapata[emoji1787] huku dar hawapatikan nataka niwafuate, ile wale ukimpa tu buku5 anashukuru balaa
Mi wambulu nkiwaona naweza watambuaWapo makabila meng Manyara, Kuna weusi kabisa, weng weupw ni wambulu
Loiborsoit, hili jina asili yake ni kimaasai. Karibu na eneo husika pana kilima chenye mawe meupe. Kwa Kimaasai loibor au oloibor ni rangi nyeupe na soit ni jiwe. Hivyo sehemu hiyo ikapewa jina hili kuashiria kuwepo kwa mawe meupe. Kwa taarifa nilizo nazo hayo mawe meupe ni "magnesite" ambayo ni mchanganyiko wa madini ya Calcium, Magnesium na Carbonate. Kwa wale waishio Chambogo maeneo ya Same wanayaelewa haya madini.Hii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara
Kwenye mitandao ya kijamii wengi kwenye comment wakisikia jina Hanang au katesh, wanauliza ni wapi wakidhani mafuriko yametokea china au Japan, kutokana na majina ya eneo husika, wengi hawajui kama ni Tanzania.
Nimejaribu kuangalia majina ya maeneo ya mkoa WA manyara kweli yanashangaza, ni tofauti kabisa na maeneo mengi Tanzania, yanafanana na majina ya nchi za nnje.
Pia nilitaka kujua mkoa WA Manyara mbona hautajwi kama ni mkubwa hapa nchini? Wakati ukiangalia ni mkubwa sana, ukiwa Hedaru Same, Kilimanjaro unaweza kwenda Simanjiro kiurahisi ni karibu sana, Ukiwa Arusha ndio pua na mdogo, ukiwa Singida napo ni jirani sana.
Baadhi ya majina ya maeneo ya mkoa WA Manyara:
*Hanang
*Gitting
*Katesh
*Maghang
*Loiborsoit
*Muslur
*Getanuwas
*Haydom
*Murkuchida
*Datlaa
*Bargish
*Kainam
*Terat
*Waang'waray
*Orkesumet
*Hoshan
*Dareda
Na mengine mengi.
NB: kule Kuna watu wanaitwa wa Iraq na wambulu wanawake wao ni pisi Kali balaa
MasaktaHii nimeeileta baada ya kufikwa na mafuriko maeneo ya Hanang, katesh Manyara

Ni yaeda chini, nadhani hakuna yaeda juuKuna mchezaj mjapan ana jina km hilo
Ila mazuri sanaKwa kweli kuna majina ya ajabuView attachment 2832410
Hili neno Kuna sehem niliwahi kusikiaDongobesh
Acha ukuda unamhurumia nini,Jamaa jumamosi kaoa mbulu. Nilimhurumia sana
Ipo kwa Wairaq ndani ndani hukoHili neno Kuna sehem niliwahi kusikia