Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,592
- 23,209
Yeah!,nimempata,kumbe unamjuaSijui setfibi sijui Mrs energy!
Tapeli tu yule hana lolote!
Yeah!,nimempata,kumbe unamjuaSijui setfibi sijui Mrs energy!
Tapeli tu yule hana lolote!
"Na Iwe Kama Ulivyonena"Anakiuno kizuri, ana rangi nzuri, sura nzuri, figure nzuri midomo yake pia mizuri kwenye kunong'onezana.
Bila shaka atakuwa anajua kulia bila machozi na kuzunguka bila kugeuza tumbo na mgongo.
Densa mkali ni ashurey hakuna mbadala wake.Iyoooo yoyoyo iyooo yoyoyo
Sisi tulimtambua huyo kumbe kuna mbadala wake
Hapana sio huyu.Huyu ndo yupo video ya jeje?
Yule anatumia miguvu sana.Kuna yule demu black sana namuonaga kwenye video mbali mbali za wasanii kama marioo,jay melody,mbosso anaitwaga nani vile,je ni msanii au ni dancer
Asante kwa kupokea.
Hakuna mtu aliyekimbia, labda atimuliwe sababu ya underperforming. Ashurey ni mmoja tu.Baada ya Nyigu kuwakimbia na kusema ukweli, mmeamua na nyie kumsagia kunguni?
Ila WCB bhana, Lol
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Upo nje ya mada. Tumzungumzie ashurey jinsi anavyokimbiza, unaonaje balaa lake?Baada ya WCB kumbania Angel nyigu naona mnampamba mwingine kwa nguvu
Unachekesha weyeee, Nyigu kawashika pabaya. PoleeeeHakuna mtu aliyekimbia, labda atimuliwe sababu ya underperforming. Ashurey ni mmoja tu.




Hehehe!!!Hakuna mtu aliyekimbia, labda atimuliwe sababu ya underperforming. Ashurey ni mmoja tu.
Hehehe!!!Upo nje ya mada. Tumzungumzie ashurey jinsi anavyokimbiza, unaonaje balaa lake?
Anaitwa Ms.Energy ni dancer..ila ameanza kuimba pia..katoa nomKuna yule demu black sana namuonaga kwenye video mbali mbali za wasanii kama marioo,jay melody,mbosso anaitwaga nani vile,je ni msanii au ni dancer
Unatoka nje ya mada. Tuzungumze vitu vya maana mkuu.Angel ndio kiboko yao..
Huyo Hana maajabu yoyote hata mi namshinda kucheza 😹😹😹
mshona viatu maarufu pale mtaa wa hamugembe..Ndio nani huko kagera?