Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,843
- 13,118
Hii nayo ya kupata hela nyingi kwa ghafra halafu unaenda kuiingiza kwenye biashara inayokupa hela kidogo kidogo imekaa ki ndezi.
Sasa si bora hiyo hela angeificha sehemu salama akawa anavuta kidogo kidogo bila stress? Ukiskia hamu ya chips yai unaenda unachukua ten unakula chips yai zako mbili kisha unatulia, muhimu nidham ya uchukuaji tu.
Halafu anaendelea na kazi aliyokua anafanya kabla.