Ashinda milion 30 aapa kuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja

Ashinda milion 30 aapa kuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,581
Reaction score
10,110
1774361300123.jpg


Jamaa kashinda bet kaamua kununua zake bajajj, toyo na boda zake mbili.. anaona maisha kayapatia kishenzi.. anasema tumpe mwaka mmoja tu atakuja kutuajiri kwenye kampuni yake.. watu wazima wanamcheka tu, wanamwambia maisha siyo rahisi hivyo..sasa ninajiuliza dogo amekosea wapi?
 
Utajiri wa tukutuku na bodaboda?haya ndiyo madhara ya kupata pesa nyingi ghafla huku kichwani huna mipango.

Na hii inachagizwa pia na mtaji aliouweka kuipata hiyo 30Mill,seriously huwezi ukaweka Tsh 2,000/= kama mtaji ukapata 30mill halafu usijione ndiyo maisha umeyamaliza kumbe bado sanaa.
 
Back
Top Bottom