AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

Mimi offer yangu utaikuta kwenye Skype yako!

hahahaha.... Sasa I know who you are..... You are indeed my friend! I am happy but curious... How is she? How is she doing? Alafu waweza amini nina tabia ya kusave PW kwenye PC, Nimebadilisha. Siku nataka nilog in Skype nakuta imeblock.... Nimesahau kabisaaaaa PW.....LOL My weakness. Sikumbukagi PW..... Vipi Pal uko kifungoni?
 
Wivu wa kijinga!...... peleka mistress yako huko huko jukwaa la siasa, hapa waache watu kwa raha zao!
quote_icon.png
By mitishamba
Hilo ndo tatizo lenu.
Mtu aki-cricize basi mnamuona adui.
Tatizo kubwa la jukwaa hili ni kuwa kuna watu wanalazimisha na wanatamani kila mtu afikirie wanachofikiria wao.

Siwezi kusema hii ni nyeupe wakati ni nyekundu.
 
Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.

Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe
Hilo ndo tatizo lenu.
Mtu aki-cricize basi mnamuona adui.
Tatizo kubwa la jukwaa hili ni kuwa kuna watu wanalazimisha na wanatamani kila mtu afikirie wanachofikiria wao.

Siwezi kusema hii ni nyeupe wakati ni nyekundu.
 
hahahaha.... Sasa I know who you are..... You are indeed my friend! I am happy but curious... How is she? How is she doing? Alafu waweza amini nina tabia ya kusave PW kwenye PC, Nimebadilisha. Siku nataka nilog in Skype nakuta imeblock.... Nimesahau kabisaaaaa PW.....LOL My weakness. Sikumbukagi PW..... Vipi Pal uko kifungoni?
She is better at least but she will take time to recover, but thanks God. Ngoja nikuPM tena Skype ID.
Kesho utaniona katika sura yangu halisi, watu kama Mitishamba ndio huwa wanatusababishia haya, sio wote tuliobarikiwa uvumilivu wa kupuuzia vitu.
 
Hilo ndo tatizo lenu.
Mtu aki-cricize basi mnamuona adui.
Tatizo kubwa la jukwaa hili ni kuwa kuna watu wanalazimisha na wanatamani kila mtu afikirie wanachofikiria wao.

Siwezi kusema hii ni nyeupe wakati ni nyekundu.

"Ctritics are our Friends.... They show us our Faults" Franklin Roosevelt.

UJUMBE; Heshimu saana mtu anae ku Criticize... Yeye pekee ndio ana uwezo wa kukujenga ukawa bora zaidi ya hapo ulipo.
 
Mwita Maranya what a post on a perfect day kwangu of sikukuu ya Wanawake.... Wanifanya niwe more proud to be a WOMAN..... THANK U and I am HUMBLED.

Kuhusu heshima naona niseme labda sababu pia nimebahatika kuheshimika na hao Members wenzangu, Na kama unavoelewa kila mwanadamu apenda aheshimiwe na pale ambap watoa/wapewa heshima ki hali halisi ina maana inabidi ureciprocate.... and that is what I do kaka. I respect as they respect me too and I am THANKFUL to all Members.... Wale ambao na interract nao mara kwa mara na wale ambao si interrect nao..... To me JF imekua kama Jamii fulani, hua naona kama nina two lives....lol

Nashukuru na kupokea dua yako, Na namuomba Mwenyezi Mungu atubariki soote na kutujaalia soote Kheri, baraka na kupata yale ambayo twatarajia ama zaidi ya hapo.

Pamoja saana Maranya.... Pamoja Saana dear...

AshaDii,

The WoY 2011, you deserved the trophy.

Aama kwa hakika umeonyesha kwamba wanawake wanaweza hata bila kuwezeshwa.

Pamoja sana mamaa, nategemea kuona busara yako 2012 ili hata wale ambao in one way or another hatujaridhika, tukiri kwamba ulistahili heshima hiyo.

Ujumbe mfupi kwa wasioridhika na matokeo; Ninyi wenyewe mmechangia sana katika kutofanikisha ukamilifu wa hii tuzo(ofcourse tuzo zote kadri nilivyofuatilia). Kwanza wengi hawakushiriki kufanya nominations, wengi hawakushiriki kutoa mapendekezo ya namna bora ya kuwapata washiriki na washindi na vigezo vya kuzingatiwa, na wengi pia hawakushiriki kupiga kura.
Sasa hizi lawama mnazomwaga hapa hazitusaidii sana JF, kwakuwa muda mlikuwa nao lakini hamkuutumia vizuri. Mimi binafsi nilishiriki katika baadhi ya tuzo na nikatoa maoni yangu na nimejitahidi kupiga kura kila category kadri nilivyowahi kuiona.
Kama kuna maboresho tushauriane ili mwakani tuzo ziwe bora zaidi, lakini hii ya kumwaga lundo la lawama baada ya mshindi kupatikana, sioni kama ina tija kwetu.
 
Kuna wenzio wengine hawayajui hayo.

Na weeengi wapo Siasa.... Na hiyo Mitishamba nasema kwa wazi kabisa ndio huniboa ku comment pale.... Kwamba mtu akiwa Criticised anashinda kupembua alo ambiwa alifanyie kazi... Hata kama baya na aelewa kua ni baya anataka kulikumbatia sababu tu source ni mpinzani. Hasa wana CDM Vs CCM. Woote wanaonesha Uchanga na si umahiri, na woote kutetea Upuuzi wa viongozi wao sababu tu wapo chama chao... Badala ya kukubali the pointed out madhaifu na kuyafanyia kazi.... SAD.
 
quote_icon.png
By mitishamba
Hilo ndo tatizo lenu.
Mtu aki-cricize basi mnamuona adui.
Tatizo kubwa la jukwaa hili ni kuwa kuna watu wanalazimisha na wanatamani kila mtu afikirie wanachofikiria wao.
Suala la "watu kulazimisha kila mtu afikirie kama wanachofikiria wao" lipo kwenye majukwaa yote, na pengine zaidi katika Jukwaa la Siasa "linaloheshimika zaidi" kuliko hapa.

Tatizo kubwa majukwaa yote ni kuwa (baadhi ya) watu wanakimbia kujenga hoja kwa hoja bali, kwa hiyo hata hilo la kumlazimisha afikirie kama unavyofikiria yeye ikiwa utamweleza kwa hoja zenye mantiki, sio tu "kwa sababu mimi ninaamini hivyo", unaweza kumfanya aelewe.

Ningefurahi sana ikiwa kama utachangia katika posts #141, #144 na nyenginezo kwa kujenga hoja.
 
Dada Ashadii nimekua nikikufuatilia kwa ukariibu japo umekua mbaya kwangu sitokaa nikate tamaa. Niliona mchakato na kura nimekutilia. Kumaliza mzizi wa fitina pokea zawadi toka kwangu na safari hii kuna sababu ya dhati kabisa kwa mimi kukutumia na wewe kupokea. Nipe contacts zako zote mimi nitahakikisha inaletwa hadi mahala ulipo sijali wapi. Hongera kwa ushindi dada mpendwa. I love u.

mmmh! iko jambo hapa.
 
She is better at least but she will take time to recover, but thanks God. Ngoja nikuPM tena Skype ID.
Kesho utaniona katika sura yangu halisi, watu kama Mitishamba ndio huwa wanatusababishia haya, sio wote tuliobarikiwa uvumilivu wa kupuuzia vitu.

JB Siku zoote nakuambia punguza HASIRA.... Ila nikuambie one thing? Umejitahidi... kwa majibishano ya humu ndani the old you angekua katusi mda na uko behind bars saizi....lol

Nafurahi kusikia she is doing good, Really glad. Na I hope leo umempigia kumtakia siku njema yetu akina mama, if you get that from a son it is bound to make you day nakuambia.... hahaha.... Mitishamba hana ubaya wowote, tatizo siku zoote anakutana na wenye hasira wenzie hio inamfanya awe self defensive kila saa.... Na in time he will learn the hard way like you are on your way learning....
 
AshaDii,

The WoY 2011, you deserved the trophy.

Aama kwa hakika umeonyesha kwamba wanawake wanaweza hata bila kuwezeshwa.

Pamoja sana mamaa, nategemea kuona busara yako 2012 ili hata wale ambao in one way or another hatujaridhika, tukiri kwamba ulistahili heshima hiyo.

Ujumbe mfupi kwa wasioridhika na matokeo; Ninyi wenyewe mmechangia sana katika kutofanikisha ukamilifu wa hii tuzo(ofcourse tuzo zote kadri nilivyofuatilia). Kwanza wengi hawakushiriki kufanya nominations, wengi hawakushiriki kutoa mapendekezo ya namna bora ya kuwapata washiriki na washindi na vigezo vya kuzingatiwa, na wengi pia hawakushiriki kupiga kura.
Sasa hizi lawama mnazomwaga hapa hazitusaidii sana JF, kwakuwa muda mlikuwa nao lakini hamkuutumia vizuri. Mimi binafsi nilishiriki katika baadhi ya tuzo na nikatoa maoni yangu na nimejitahidi kupiga kura kila category kadri nilivyowahi kuiona.
Kama kuna maboresho tushauriane ili mwakani tuzo ziwe bora zaidi, lakini hii ya kumwaga lundo la lawama baada ya mshindi kupatikana, sioni kama ina tija kwetu.
Matola na Afrodenzi kwa pamoja wanaangalia namna nzuri ya kumpongeza AshaDii, kwa niaba yao nakaribisha maoni yenu.
 
Kiukweli nilikuwa msomaji tu wa jamii forum,na niliposikia kuhusu hili shindano moyoni mwangu nilisema my woman of the year ni ASHADII atakama wasipompa,na leo nilipoona matokeo nikasema laazima ni join na kumpongeza
UNAJUA KWA NINI:
She is a woman of wisdom and good character,marazote anakuwa na mawazo ya kujenga na anapotoa wazo lake yeye anakupa nafasi ya wewe ufikirie upande mwingine wa story yaan ustoe conclusion mapema,her ability ya kuwa flexible katika kila eneo it means she can be gudwoman akiwa jikon,kuchangia mawazo ya familia na anajua duties za mwanamke chumban(bed) hiv vyote unaweza kuviona kupitia michango yake,mara zote nikimsoma ASHADII na kumbuka haka kamsemo:
A BEAUTY BODY is not enough to QUALIFY a GIRL to be a WIFE..but a BEAUTY MIND-BEAUTY CHARACTER does!
She always ananitia moyo kwamba bado kuna wanawake wenye potential kwenye maeneo mengi tu,i have dream ya kuwa na mwanamke mwenye mindset kama ya Ashadii nikafunge nae ndoa ya halali kanisan
 
Back
Top Bottom