AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

Aiseee...ni kweli hakuna uchakachuaji..AshaDii amekamilika..Bravo AD & Keep it up!
 
Da Mkubwa AshaDii.............hongera sana. Please endelea kutupa ushauri wako mwanana.
 
Asha Di na Kiranga are some of ma favorites kwa kweli, sema kiranga nadhani wengi tunataka kuamini kuwa ni mkaka?

Una maana gani kwani Kiranga ni demu ?

BTN Sijawai kuona Asha Di akispin spin mambo lakini kiranga sometime ana spin mambo. So usiwafananishe.
 
Una maana gani kwani Kiranga ni demu ?

BTN Sijawai kuona Asha Di akispin spin mambo lakini kiranga sometime ana spin mambo. So usiwafananishe.

Una maana gani ana spin mambo?

Funguka...

Pia nilikuwa nauliza kama alishindanishwa, wewe unaleta porojo.
 
Hongera sana AshaDii........msalimie sana.......mazee SteveDii...........
Steve Dii ni mzima wa afya..... Salamu zako zimefika Ogah...
Hongera saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana AshaDii, unastahili Nakuzawadia doti ya kitenge cha wax, nitafute
Kilola hiyo Hongera niliisiki kabla hata ya kufungua thread...lol... I am humbled. THANK U...
Haya bwana hongera yake mwanamama Ashadii...
Huyu mshindi wetu ameolewa wakuu?
Only Asante saana Broda.... Huyu AshaDii ameolewa na kajaaliwa watoto pia Namshukuru Mwenyezi Mungu...
Hongera mwaya!!!
Asante Dear.... Hongera kwetu soote.... Ulipotea saana. Karibu tena....
sijawahi kusoma comment ya huyo mtu wala mchango wake wa maana hapa jukwaa la siasa, hoja mchanganyiko, biashara etc na wala simjui
Naomba uende page # 8 ya hii thread alafu soma post # 145 kama bado upo interested... Utapata jibu pale... Narubongo, ni matumaini yangu tutakua familliar na tutaonana mara kwa mara...
What do you mean?I dont think you have that problem at all. Just do what you have been doing, mostly ni maslahi ya Taifa na wananchi ndo waht matters, sky is the limit!
You are right about that budy... Will come around so that you couch me on Politics.... BTW I am kind of surprised with your insinuation on Kiranga... Or did I read you wrong?
Congratra bibie, you deserve!
Humbled Ziltana....
WoY AshaDii, Hongera sana takutafuta baadae tuka party.
Usikoje kuja bila zawadi...
Greatest Accolades comes with Greatest Responsibilities. as advised above, my take would be to invite you into more forums especially political, international and other thorny issues involving the nation at large. YOur inputs therein would of course be very valuable for the country. My heartfond congratulations and may you prosper in all human aspects of life. and may you not get intertwained in scandles prone to celebrities and big achievers!
Kwamba umepotea saana jamvini but have been able to find time for this... want you to know kua I am humbled. Of coz nimesoma Maneno yako... Wanadamu hatutakiwi kuahidi when we don't know our future hasa on future reactions... What I can say is I will try my very best pa... my very best. Pamoja saana.
Thanks Asha Dii. Usijali, Criticisms are good for healthier discusions....tatizo la kule kwenye jukwaa lenu ndo lile lile nalosema kila wakati kuwa wengi wanataka kila mtu awe na mawazo kama wao...ukiwa tofauti basi adui. Kuna usemi mmoja ambao sikumbuki vizuri source yake, uko hivi: "Ukipita katika njia halafu njiani hukukutana na tatizo/changamoto yoyote basi jua kuwa upo katika wrong way". Otherwise I respect you pengine much kuliko hata hao wanaonitukana na kujionesha kwako kuwa wanakupenda. ....and I love you pia....I real love women! I am not as bad as most of people at mmu are trying to imagine. And you know what.....!? Am dying to see you!
Mitishamba.... I wish ungeona the way hii post Imenifurahisha.... As if I have achieved something I thot ni Impossible to achieve... Hence infanya furaha yangu iwe maradufu!! God willing siku moja tutaja onana... Tuombe Uzima.... Mungu ni Mkubwa... Pamoja Saaana.
 
dah! Hata sijui nilikuwa wapi. Hongera Asha Dii. Upo kiroho safi sana.
Aiseee...ni kweli hakuna uchakachuaji..AshaDii amekamilika..Bravo AD & Keep it up!
Asha diii pamoja sna mkuuu...
Hongera dada.
Hongera sana AshaDii kwa tuzo
..hongera AshaDii kwa kupata tuzo hii.
Da Mkubwa AshaDii.............hongera sana. Please endelea kutupa ushauri wako mwanana.
Hongera AshaDii
Pongezi kwako Asha Dii
Need we say more? Narudia tena kumpongeza ADii.............
hongera sana mkuu!
Asha Di na Kiranga are some of ma favorites kwa kweli, sema kiranga nadhani wengi tunataka kuamini kuwa ni mkaka?
Wakuu... I am HUMBLED.... Napokea Pongezi kwa mikono miwili.... ASANTENI SAAANA.... Pamoja saana.
 
Hongera saaaaana woY AshaDii! Huu ni ushindi kwa wana mmu.
 
Steve Dii ni mzima wa afya..... Salamu zako zimefika Ogah... Kilola hiyo Hongera niliisiki kabla hata ya kufungua thread...lol... I am humbled. THANK U... Only Asante saana Broda.... Huyu AshaDii ameolewa na kajaaliwa watoto pia Namshukuru Mwenyezi Mungu... Asante Dear.... Hongera kwetu soote.... Ulipotea saana. Karibu tena.... Naomba uende page # 8 ya hii thread alafu soma post # 145 kama bado upo interested... Utapata jibu pale... Narubongo, ni matumaini yangu tutakua familliar na tutaonana mara kwa mara... You are right about that budy... Will come around so that you couch me on Politics.... BTW I am kind of surprised with your insinuation on Kiranga... Or did I read you wrong? Humbled Ziltana.... Usikoje kuja bila zawadi... Kwamba umepotea saana jamvini but have been able to find time for this... want you to know kua I am humbled. Of coz nimesoma Maneno yako... Wanadamu hatutakiwi kuahidi when we don't know our future hasa on future reactions... What I can say is I will try my very best pa... my very best. Pamoja saana. Mitishamba.... I wish ungeona the way hii post Imenifurahisha.... As if I have achieved something I thot ni Impossible to achieve... Hence infanya furaha yangu iwe maradufu!! God willing siku moja tutaja onana... Tuombe Uzima.... Mungu ni Mkubwa... Pamoja Saaana.
Samahani, nilisahau kuwa hii ni thread ya kukupongeza.
 
Back
Top Bottom