Asha Migiro in Tanzania

jokaKuu,'
Tibaijuka hana personality. Hana charisma. At least Migiro is presentable.
We want a beautiful lady president.

Kumbe we mwenzetu unavutiwa na sura......nakumbuka mchonga alivyoua wanaopenda sura zaidi ya rekodi na utendaji wa kazi....lol

Tuna safari ndefu sana kama hata "mlioelimika" mnaangalia sura....
 
Yaani bado sisi Watanzania tunahitaji haya makombo ya Mafisadi?
 
Mkuu Wangu Dua,

Heshima yako, hivi kweli mkuu sasa unasema kuwa tuwape power Chadema? Kina Mziray, Mbowe, na wangwe?

Duh! Sikujua kama Mziray na Wangwe wameshakukua presidential materials!

Afadhali Mbowe hayupo kwenye List of Shame!

Tuwakatae mafisadi kwa kweli.

Hayo ya Wangwe ni ya kawaida tu, ndio maana ameshasimamishwa. Ni ishara kuwa CHADEMA ni chama makini kinachosimamia katiba na kanuni zake bila kulindana.

kwa urais mimi i am for Profesa Baregu au Dr Slaa mwaka 2010. Mbowe au Kitila Mkumbo mwaka 2015. Zitto au John Mnyika mwaka 2020. Hii ni toka CHADEMA Hapo CCM itakuwa imejisafisha labda watanzania waifikirie tena 2025. Si unaona KANU inavyojitutumua kule Kenya baada ya kupiga mwereka?

Lakini pia inaweza kuwa Lipumba toka CUF.

Hivi mwakakijiji wewe ni chama gani? Mi napenda uwe Rais wetu mwaka 2020 lakini sio kwa kupitia Chama Cha Mafisadi

Asha
 
Wangwe wameshakukua presidential materials!

Mpaka kufikia makamu wa mwenyekiti wa Chadema kwa nini asiwe, I mean lazima anazo some political skills ambazo tunaweza kuwa tunazihitaji, ingwa ukweli hauko upande wake on this, lakini inaleta some quetsions aliwezaje kuwa makamu?
 
Kilichotokea Disemba 2007 ni protest vote ya wajumbe wa Baraza kuu dhidi ya Sekretariati baada ya Chacha kunafikiwa kupandikiza uzushi kwamba Said Arfi Mbunge wa Mpanda alikuwa chaguo la sekretariati. Kukishakuwa na hali kama hiyo watu wanaweza kuchagua hata jiwe badala ya binadamu. Ni kama ANC walivyomchagua Zuma kutokana na hasira na Mbeki!

Sasa hao hao waliomchagua Disemba 2007 ndio wameona hafai na wakapiga kura ya kutokuwa na imani naye.

So you still talk about presidential material?

Hivi ukipewa Anna Kilango na Chacha Wangwe utamchagua nani? Anna Malecela na Dr Slaa je?

Asha
 
Huyu mama hiyo nafasi alipewa makusudi kabisa na ukiangalia trend utaona alitayarishwa na Mkapa kwa kusaidiana na Bush.
Sasa tizama hiyo trend yake pale alipolimwa swali kuwa ni lini alishakutana na huyo Ban Kimoon akasema ni wakati akiwa waziri wa maendeleo ya jamii na kwasababu tunajuwa JK siye anayepanaga baraza la mawaziri...Basi hata hiyo nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje alipewa na wananmtandao.
Na hapo ndio ikawa na gia ya kuchaguliwa mara baada ya hivyo vijimikutano vyake yeye na kimwezi(kimoon)

Q: Had you met the Secretary-General before you were offered this job?

DSG: Several times. First, I met him when he visited my country. At that time I was Minister for Community Development, and he was the guest of our Government, so I met him.

But I also met him when I became Minister for Foreign Affairs. I met him before he was a candidate. I met him at the time he was candidate, and then I met him when he was SG-designate. So I have met him several times, including here in New York.

Hapo juu ni alipojibu kuhusu muda aliokutana na SG Kimoon.

Na hapo chini...Ni muda aliokutana nao akiwa chini ya Mkapa na baada ya JK kuchukuwa nchi..wanamtandao na kina Mkapa wakamweka wizara ya mambo ya nje ili aendelee kuwalinda mafisadi huku na yeye akitayarishwa kuja kuchukuwa urais!

Yani kwasababu zile style za kuwa waziri wa mambo ya nje ndiyo uwe rais bado viko!

Kweli ccm mko delusional.

From 2000 to 2006, she was the Minister of Community Development, Gender and Children's Affairs.

She became the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation on January 4, 2006, when the previous foreign minister, Jakaya Kikwete, who had been elected president, appointed his new cabinet.
Halafu sasa ndiye mgombea wa nini eti?

Alipewa nafasi aliyokuwa nayo JK ya uwaziri wa mambo ya nje mara baada ya JK kuupata urais na sasa ni zamu yake siyo uh?

Kama vile wamarekani watakavyokataa utawala wa kurithishana..Kati yao Bush na Clinton kama wafalme...Na kujidai kuwa wana sera za tofauti kumbe wao wana Sinclair ambaye ndiye Karl peters wao wakisaidiwa na mamluki na kina Young walio kuwa CORRUPT mara baada ya kifo cha MLK.
Na sasa Watanzania tutakataa hilo la kurithishana.
 
Kumbe we mwenzetu unavutiwa na sura......nakumbuka mchonga alivyoua wanaopenda sura zaidi ya rekodi na utendaji wa kazi....lol

Tuna safari ndefu sana kama hata "mlioelimika" mnaangalia sura....

Nyani,
Si unaona Obama anavyomwendesha million dollar man? It is all about charisma!
kwi!kwi!kwi!
 
To be honest, Chama kinachokumbatia mafisadi (CCM) inabidi kiwekwe pembeni nchi isafishwe bila aibu ya kulindana na kukingiana vifua!.

kwa mtaji huu my vote will go for anybody nje ya walinda mafisadi period!

being Kilango, migiro, tibaijuka Salim so long as atakuwa nje ya wakumbatia fisadi atapata kura yangu! ni afadhali wasimame as private candidates, ila si habari ya chama cha walinda mafisadi ebo!

Afu cha kushangaza eti na fisadi Masha naye anafikiriwa kuwa aweza kuwa presida?? jama ebu tuwe srious kidogo!
 
Sasa hao hao waliomchagua Disemba 2007 ndio wameona hafai na wakapiga kura ya kutokuwa na imani naye. So you still talk about presidential material?

Haya maneno ya u-presidential material huwa haya apply kwetu bongo, anybody can be a president tumeona mifano ya kutosha, sasa msijifanye kuwa sasa urais wetu umebadilika kuwa tunataka malaika,

Anybody anaweza kuwa rais, hata wewe pia so is Wangwe, au Mziray, na hata Mbowe! Hata Masha, haya maneno ya ufisadi yalisha expire siku nyingi sana maana yake, sasa yamekuwa ni maneno ya kawaida tu maana nani siku hizi Tanzania sio fisadi? Kuna wakati tunaambiwa hata Mods humu Jf ni mafisadi, sasa kweli mnasema bado maana ya hilo neno ni ile ile?
 
Mkuu Wangu Dua,

Heshima yako, hivi kweli mkuu sasa unasema kuwa tuwape power Chadema? Kina Mziray, Mbowe, na wangwe?

Mkuu unafahamu CCM wamebweteka kwa muda mrefu sana na inabidi hao walioko huko CCM wanaojiona ni wasafi waanze kukemea uhalifu wa wazi wazi kwani wakitegemea kwamba akina Mziray, Mbowe, na Wangwe hawakubaliki na wao vile vile watakuwa hawakubaliki.

Tanzania hivi sasa tunaelekea kwenye awamu nyingine ya uongozi, madudu yanavyotolewa kila siku sio jambo la kulifumbia macho hatuwezi kugeuka kuwa kichekesho kama Zimbabwe ati kwa sababu wapinzani waliopo hawakubaliki.

Mugabe na mkewe Grace waliapa na wamepiga upatu kuwa MDC hawatatawala Zimbabwe - yako wapi sasa wanakula dinner pamoja. Walio safi wakumbuke maneno ya mwalimu aliposema 'CCM siyo baba au mama yangu'.
 
Haya maneno ya u-presidential material huwa haya apply kwetu bongo, anybody can be a president tumeona mifano ya kutosha, sasa msijifanye kuwa sasa urais wetu umebadilika kuwa tunataka malaika,

Anybody anaweza kuwa rais, hata wewe pia so is Wangwe, au Mziray, na hata Mbowe! Hata Masha, haya maneno ya ufisadi yalisha expire siku nyingi sana maana yake, sasa yamekuwa ni maneno ya kawaida tu maana nani siku hizi Tanzania sio fisadi? Kuna wakati tunaambiwa hata Mods humu Jf ni mafisadi, sasa kweli mnasema bado maana ya hilo neno ni ile ile?

Ama kweli tumeifikisha nchi yetu pabaya......

FMES: ina maana umekata tamaa kiasi cha kuona ni sawa kuendelea kuwa na BORA RAIS badala ya kuangalia jinsi gani ya kuzuia hilo na kuhakikisha tunakuwa na mfumo bora utakaotupatia RAIS BORA.....

Wengine: Inaelekea ule ujumbe wangu kuwa katika hali mbaya kama tuliyonayo Tanzania ni rahisi tukakimbilia kukumbatia moto wa MASIHA FEKI....Yaani ANNA KILANGO-MALECELA katoka kuwa "first lady in forever waiting" hadi Presidential material......ama kweli hali ni mbaya......na hatari mno....

FMES: hivi ni wapi kuna mtusi ya nguoni hapa?

Tanzanianjema
 
FMES: ina maana umekata tamaa kiasi cha kuona ni sawa kuendelea kuwa na BORA RAIS badala ya kuangalia jinsi gani ya kuzuia hilo na kuhakikisha tunakuwa na mfumo bora utakaotupatia RAIS BORA.....

Wewe utazuia na nini? Wakati Mwinyi anamaliza term yake ya pili, tuliambiwa na viongozi wetu wengi kuwa haitakuja kutokea tena kuwa na rais kama yeye, na sasa tunaye na atakapotoka atamuweka mwingine kama yeye na wananchi tutampigia kura, utazuiaje hilo wakati pamoja na uchafu wote wa mafisadi bado CCM wameshinda Kiteto, tena bila kutoa jasho, mkuu ninaishi na political realities za bongo, na besides ni haki ya kila mwananchi kugombea urais au nafasi yoyote ya uongozi wa siasa Tanzania.

WILDCARD: Hivi unamjua MANONGI ama umewahi kufuatilia sifa za kiutendaji? Unadhani MIGIRO alimpendekeza kwa ajili ya kabila lake tu? Nahsauri kama unataka kutoa maoni kuhusiana na watu ni bora ukafanya kautafiti kidogo ambacho nakuhakikishia ungelifanya ungelijua kuwa hata kama uongozi umejaa vijifisadi na mafisadi lakini bado kuna watu wa kuwaamini na maslahi ya nchi yetu kama kina MANONGI.

Hapa una point, labda niongezee tu ni kwamba wakati Mama Migiro anakwenda UN, Balozi Mnongi, alikuwa ndio kwanza anamaliza uwakilishi wake kwenye Baraza Kuu La Usalama, kama Balozi maalum kwenye urais wetu, yaani Tanzania kwenye Baraza la Usalama, alikuwa tayari anajitayarisha kwenda Adis kuwa Blaozi wetu kule, lakini wakuu wengi wa UN walimshauri Mama Migiro, kumuomba rais wetu, ili amruhusu Balozi Manongi, kuwa mmoja wa wasaidizi wake, na wakuu hao akiwemo General Gambari, walimpigia simu wao wenyewe rais wetu kumtaka amruhusu Balozi Manongi, kubaki na Mama Migiro, ni kweli kuwa huyu ni mmoja wa viongozi wachache sana bongo ambao wanaingia kwenye list ya uadilifu kwa taifa letu, hakukuwa na ukabila wala anything, UN nzima ilimshauri Mama Migiro na rais wetu kumabakihsa huyu mkuu.

Wengine: Inaelekea ule ujumbe wangu kuwa katika hali mbaya kama tuliyonayo Tanzania ni rahisi tukakimbilia kukumbatia moto wa MASIHA FEKI....Yaani ANNA KILANGO-MALECELA katoka kuwa "first late in forever waiting" hadi Presidential material......ama kweli hali ni mbaya......na hatari mno....

Haya mkuu ndio ninyaita matusi ya nguoni kwa sababu kwanza inaonyesha kuwa wewe ni binadamu usiyekuwa na heshima kabisaa au ustaarabu, ingawa una elimu kubwa sana lakini naona bado hijakusaidia kabisa mkuu, Mama Kilango, ili kuwa mbunge wa Same East, alimuondoa Waziri wa serikali ya Mkapa, aliyekuwa rafiki wa karibu sana na hata mshiriki wa kibiashara wa Mkapa akiwa rais, sasa wewe leo ambaye huna hata ukatibu tarafa, kukurupuka na maneno mazito namna hii utafikiri huyu mama ameua mtu ni ulofa mkuu wa mawazo ya kisiasa,

Mama Kilango ana haki ya kugombea urais at anytime anapotaka na ni haki ya kila Mtanzania, ningekuelewa kama ungesema makosa yake ya siasa, halafu ndio utoe hukumu, lakini kurupu na nonesense unajua unajisema kuwa wewe ni bin-adam wa aina gani mkuu, mama ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi, Mwinyi alikuwa mbunge kwanza kabla ya kuwa rais, Mkapa alikuwa mbunge kwanza kabla ya kuwa rais, Kikwete pia alikuwa mbunge kwanza kabla ya kuwa rais, sasa Mama Kilango ambaye ni mbunge sasa kwa nini asiwe rais akiamua kugombea? Mlituambia haya haya maneno yenu kuwa Kikwete hawezi kuwa rais na akawa, mnaongea as if baada ya muungwana itatokea miujiza basi urais utakuwa wa alliens tu, mkuu kubali ukweli kiongozi yoyote wa bongo sasa hivi mwenye level ya ubunge anaweza kuwa rais at anytime na wewe huwezi fanya anything!

Sikutaka kuiguza hii ila umeniita mwenyewe mkuu.

Ahsante Sana.
 
Mama Kilango ana haki ya kugombea urais at anytime anapotaka na ni haki ya kila Mtanzania...

That's not the point.

Every 40-year old Maimuna and her Tanzanian cousins have the right to run for president.

We're not talking about rights to run here. We're talking about materiality of this lady to hold the office of president. Whether she has the credentials.
 
We're talking about materiality of this lady to hold the office of president. Whether she has the credentials.

Mama Kilango ana haki ya kugombea urais at anytime anapotaka na ni haki ya kila Mtanzania, ningekuelewa kama ungesema makosa yake ya siasa, halafu ndio utoe hukumu, lakini kurupu na nonesense unajua unajisema kuwa wewe ni bin-adam wa aina gani mkuu, mama ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi, Mwinyi alikuwa mbunge kwanza kabla ya kuwa rais, Mkapa alikuwa mbunge kwanza kabla ya kuwa rais, Kikwete pia alikuwa mbunge kwanza kabla ya kuwa rais, sasa Mama Kilango ambaye ni mbunge sasa kwa nini asiwe rais akiamua kugombea? Mlituambia haya haya maneno yenu kuwa Kikwete hawezi kuwa rais na akawa, mnaongea as if baada ya muungwana itatokea miujiza basi urais utakuwa wa alliens tu, mkuu kubali ukweli kiongozi yoyote wa bongo sasa hivi mwenye level ya ubunge anaweza kuwa rais at anytime na wewe huwezi fanya anything!

Unless unitajie huyo rais wetu kuacha Mwalimu aliyewahi kuwa hizo credentials zako wewe tu, maana inaonekana unawajua wewe tu sisi wabongo wengine hatuwajui, acheni blah blah kubalini ukweli kuwa mama anaondoka huyoooo!maana kwenye maisha ukilenga kwenye urais huwezi kukosa hata uwaziri mkuu, ukishindwa vyote basi wewe sio mwanasiasa ila mbabaishaji, does that sound to be like Mama Kilango? Unafikiri ni kiongozi atakayekosa hata uwaziri mkuu akiamua? Muulize Yona!
 
Back
Top Bottom