Asha Migiro in Tanzania

Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,130
45
Now then our own daughter, The UN deputy Boss, my name sake Asha Migiro is in Tanzania. What message should we give her when she is in working visit in Zanzibar? And what message should wabunge give her when in Dodoma?

Najua wasaidizi wake watapita hapa JF na kupata hoja zetu

Asha
 
Awambie CCM kwamba wizi wa kura umepitwa na wakati. Awashauri CCM wawaulize Kibaki na Mugabe!!!!
 
According to the dataz mkutano wa Egypt, umemfundisha fundisho moja kubwa sana kuwa huwezi kuwaamini viongozi wa Afrika, ni waongo na wanafiki na nudmila kuwili tena ni nyoka wa hatari sana, kama sio vinyonga,

Alienda kule akiamini kuwa viongozi wote wa Afrika, watakuwa kwenye ukurasa mmoja against vitendo vya Mugabe kwa wananchi wake, lakini hakuamini aliyoyaona baada ya yeye kuwa wa kwanza kujaribu kuweka msimamo huo, jinsi viongozi hao walivyomgeuka, hasa baada ya Mugabe mwenyewe kutokea, kwa hiyo nafikiri hili la mamneno ya kura na uchaguzi sasa analijua vizuri sana,

Binafsi ninamfagilia Mama Migiro, kwa urais wa mwaka 2015, ninaamini kuwa ataitumia safari hii kupima maji yako level gani haitakuwa mbaya Tanzania tukiwa nchi ya kwanza kwa Central na East Afrika kuwa na rais wa kwanza mwanamke, ninamuaminia sana kuwa anaiweza hiyo task.
 
According to the dataz mkutano wa Egypt, umemfundisha fundisho moja kubwa sana kuwa huwezi kuwaamini viongozi wa Afrika, ni waongo na wanafiki na nudmila kuwili tena ni nyoka wa hatari sana, kama sio vinyonga,

Alienda kule akiamini kuwa viongozi wote wa Afrika, watakuwa kwenye ukurasa mmoja against vitendo vya Mugabe kwa wananchi wake, lakini hakuamini aliyoyaona baada ya yeye kuwa wa kwanza kujaribu kuweka msimamo huo, jinsi viongozi hao walivyomgeuka, hasa baada ya Mugabe mwenyewe kutokea, kwa hiyo nafikiri hili la mamneno ya kura na uchaguzi sasa analijua vizuri sana,

Binafsi ninamfagilia Mama Migiro, kwa urais wa mwaka 2015, ninaamini kuwa ataitumia safari hii kupima maji yako level gani haitakuwa mbaya Tanzania tukiwa nchi ya kwanza kwa Central na East Afrika kuwa na rais wa kwanza mwanamke, ninamuaminia sana kuwa anaiweza hiyo task.

Mugabe threatens to take over all foreign...

2008-07-21 09:10:17
By HARARE


Zimbabwe will transfer ownership of all foreign-owned firms that support Western sanctions against President Robert Mugabe`s government to locals and investors from ``friendly`` countries, a state newspaper reported on Sunday.

The southern African state is struggling with an economic crisis many blame on Mugabe’s policies, which has left it with an inflation rate of over 2.2 million percent and chronic shortages of food and other basic needs.

Mugabe`s government blames the crisis on sabotage by enemies angry over his seizures of white-owned farms for blacks, and has followed up that policy with another controversial law seeking to transfer majority ownership of foreign-owned firms to locals.

The Sunday Mail said Zimbabwe had begun auditing the ownership of Western firms in the country as part of a black empowerment drive ``and to counter the possible withdrawal of investment under sanctions imposed and proposed by Britain and the U.S.``

Mugabe — fighting to retain power after a winning a runoff poll boycotted by his rival — says Zimbabwe`s severe economic crisis is due to sabotage by former colonial master Britain, its European Union allies and the United States.

The Sunday Mail paper said preliminary results of Zimbabwe`s audit of foreign investments showed that 499 companies enjoyed British investments.

Of these, 309 had majority shareholders in Britain and 97 were wholly owned by Britons.

The audit also found 353 firms with shareholders from other European countries, the weekly said in a story largely attributed to unnamed government sources.

``A high-ranking government source told the Sunday Mail that these companies would be targeted for takeover by local investors and companies from friendly countries, particularly those in the Far East, should they heed calls by the U.S. and European governments for them to disinvest from Zimbabwe,`` it said.

Most of the Western investments in Zimbabwe are in tourism, agriculture, manufacturing and food processing industries.

The newspaper quoted its source as saying: ``In the context of growing hostility, the government is planning to invite companies from friendly countries to move in and take over companies that will close down.``

The move to line up local and Far East investors for the takeover was also aimed at boosting low industrial capacity which has led to chronic shortages on the market, it said.

Although some British investors had so far rebuffed a call by London to pull out of Zimbabwe, Mugabe was taking no chances, the newspaper said.

``It would have been foolhardy for the government to adopt a `business-as-usual` approach when the UK and the U.S. are dishing out threats,`` one source said. ``We had to take action and this is the beginning.``

Mugabe has previously warned that he will target and nationalise companies he accuses of supporting what he calls a ``racist and imperialist`` plot to topple his ZANU-PF government.

Mugabe’s spokesman George Charamba confirmed the government’s drive against Western firms, telling the Sunday Mail: ``The government is not sleeping.``

``It is hard at work and the spotlight is on the corporate sector. We are anxious to understand the behaviour of corporate bodies and whether this (shortages and price hikes) owes to market imperatives or political obligation of the foreign investors,`` Charamba said.

Industry leaders say Zimbabwe’s economy has been hurt by Mugabe’s policies, and its future lies in a negotiated political settlement between the ruling ZANU-PF and the opposition MDC.

The MDC has refused to recognise Mugabe`s overwhelming victory in a June 27 vote held after its leader Morgan Tsvangirai pulled out, citing violence by ruling party militia.
  • SOURCE: Guardian
 
Urais 2015: Kilango vs Migiro?

Ndio mkuu, uzuri wa CCM tuna vichwa vingi sana, hatutegemei kiongozi mmoja tu, 2015 kuna wengi tu kina mama Kilango, Masha, Mama Migiro, Nape na wengineo wengi tu ambao watajitokeza in the process, ndio maana ya demokrasia, kwa hiyo si kweli kwamba itakuwa hao wawili tu uliosema mkuu,

Wako wengi na wote ni vichwa tupu!
 
Ndio mkuu, uzuri wa CCM tuna vichwa vingi sana, hatutegemei kiongozi mmoja tu, 2015 kuna wengi tu kina mama Kilango, Masha, Mama Migiro, Nape na wengineo wengi tu ambao watajitokeza in the process, ndio maana ya demokrasia, kwa hiyo si kweli kwamba itakuwa hao wawili tu uliosema mkuu,

Wako wengi na wote ni vichwa tupu!

KURA yako?
 
It is too early, I mean bado ni mapema mno na sio tu kupiga kura bado tunaangalia kwa makini nani kati yao ana nafasi kubwa ili tuingie kenye kampeni, maana kama kawa ni lazima tuwe involved sio kupiga kelele kwa mbali, si unajua Tanzania ni chi yetu wote,

maaana hapa bado kuna kina Mwakyembe, Mwandosya, huo uwanja ni mpana sana, lakini subira inavuta heri.
 
Anne Ana Hasira Za Kuukosa U 1st Lady.......huyu Mama Mwingine Wa Un Atawalinda Waliomuweka Hapo Alipo.......same Story Na Jk Wake.....
 
Anne Ana Hasira Za Kuukosa U 1st Lady.......huyu Mama Mwingine Wa Un Atawalinda Waliomuweka Hapo Alipo.......same Story Na Jk Wake.....

Kwi!kwikwi!kwi!kwi!kwi! sour grapes bwana! kwi!kwi!kwi!kwi! Hitler alikuwa na hasira za Jews kumiliki kila kitu kule Germany, tunahitaji hasira zinazoweza kutletea mabadiliko kwa taifa, sio hasira za kudopa kuogopa kurudishwa kwa Kiwra kwa wananchi,

ambazo zinakuwa ndio chanzo cha kuwarushia maneno mabovu viongozi safi wa taifa letu, kwi! kwi! kwi! kwi!
 
Quote:
Originally Posted by Mambo Jambo
Urais 2015: Kilango vs Migiro?

MBONA MBALI KWANI 2010 TUNAMPA NANI?..

Mh. J.M. Kikwete


kwa hiyo tumekubali yaishe, mpaka 2015..........sisi kasumba katufundisha nani...watanga na njia aliyeturoga nani?...
 
kwa hiyo tumekubali yaishe, mpaka 2015..........sisi kasumba katufundisha nani...watanga na njia aliyeturoga nani?...

Politicasl realities na kasumba ni ishus mbili tofauti sana, mpaka tutakapobadili katiba yetu then tutnaweza kuibadili kasumba, lakini until then tutakapoweza kubibadili katiba political realities zetu bongo ni rais wa sasa mpaka 2015,

Na the next one atakuwa Mkristo!
 
Anne Kilango ana elimu ya kurithisha kuwa rais? Nikiwa na maana japo kadigirii kamoja.

Asha Migiro is too soft; uraisi wa Bongo hauwezi, yeye na JK kutakuwa hakuna tofauti.
 
Name Anne Malecela
Surname Malecela
First Names Anne Kilango

Country of Birth Tanzania

From To Organisation Position 2005 Same Constituency MP for Same
Date of Birth 9 Jan 1956
Political Affiliation CCM

Notes EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Chang'ombe Teachers' Training College Teaching Course 1978 1979, (Currently Open University Degree Economics)

CERTIFICATE
Shycom Secondary School A-Level Education 1975 1976 HIGH SCHOOL
Weruweru Secondary School O-Level Education 1971 1974 SECONDARY
Jitengeni Primary School Primary Education 1964 1970 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date :KLM Airline Accountant 1993 1994, Gulf Air Corporation Financial Controller 1991 1993, Air Tanzania Corporation(ATC) Accountant 1983 1991, Kisutu Girls' Secondary School Teacher 1979 1983
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2000 2010
Chama Cha Mapinduzi - CCM Chairperson (UWT Kinondoni District) 1997 2003

[ Retrieved on 17/7/2006 - www.parliament.go.tz ]
 
Back
Top Bottom