S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 88
Name Anne Malecela
Surname Malecela
First Names Anne Kilango
Country of Birth Tanzania
From To Organisation Position 2005 Same Constituency MP for Same
Date of Birth 9 Jan 1956
Political Affiliation CCM
Notes EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Chang'ombe Teachers' Training College Teaching Course 1978 1979, (Currently Open University Degree Economics)
CERTIFICATE
Shycom Secondary School A-Level Education 1975 1976 HIGH SCHOOL
Weruweru Secondary School O-Level Education 1971 1974 SECONDARY
Jitengeni Primary School Primary Education 1964 1970 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date :KLM Airline Accountant 1993 1994, Gulf Air Corporation Financial Controller 1991 1993, Air Tanzania Corporation(ATC) Accountant 1983 1991, Kisutu Girls' Secondary School Teacher 1979 1983
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2000 2010
Chama Cha Mapinduzi - CCM Chairperson (UWT Kinondoni District) 1997 2003
[ Retrieved on 17/7/2006 - www.parliament.go.tz ]
Nyani umesema kweli.. Urais siyo digrii na uongozi siyo usomi. Hili bado nalikataa. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya uongozi na usomi. Naamini hili ni mojawapo ya makosa makubwa ambayo bado tunayafanya. Haina maana msomi asiwe kiongozi, bali kiongozi siyo lazima awe msomi.
wakati wa uteuzi wake kuna watu walimpiga madongo na kulalamika kwamba she was not qualified...wadau wa UN wanampa maksi gani kutokana na utendaji wake?
..pia sijui hapa Tanzania wanasiasa wenzake wanamchukulia namna gani. je anakubalika na wenzake?
..nadhani Dr.Tibaijuka anastahili kufikiriwa pia. yeye nafasi yake siyo ya kuteuliwa. ameomba kazi, akafanyiwa interview na kutokea mshindi.
My recommendation: Politicians if you still have time, go and get your good degree; you'll loose nothing by taking this step. It is to your own advantage to sacrifice some few years of vigelegele for this purpose.
Degree au elimu ya juu zaidi ni added advantage. You don't loose anything by having a degree, but you are likely to face hurdles sometimes somewhere by not having it. So, yes, a degree/higher education may not automatically make you a good leader (no causal relationship here) but it is certainly a good predictor of success and performance in leadership and several other spheres.
My conclusion: It is only a foolish politician who will accept an advice that he/she doesn't need a degree at this material time!
My recommendation: Politicians if you still have time, go and get your good degree; you'll loose nothing by taking this step. It is to your own advantage to sacrifice some few years of vigelegele for this purpose.
Nyani Ngabu,
..mimi nafikiri kuwa na degree ni muhimu...pia uweze kuonyesha umefanyia nini hiyo degree yako kwa manufaa yako binafsi na ya wananchi wenzako.
..baada ya hapo uweze kuonyesha kwamba elimu na rekodi yako ya utendaji vitasaidia kuleta maendeleo ktk nchi yetu.
NB:
..kuna dhana nyingine inajijenga kwamba kiongozi mzuri ni yule aliye masikini.
..maadili na mafanikio ya uongozi yanapimwa na ufukara wa mtu, na siyo maendeleo yake na mbinu zilizotumika kuyafikia.
Migiro and Tanzanian President Jakaya Kikwete at the December 2007 Leon H. Sullivan Foundation dinner in Washington, DC
United Nations appointment
Migiro was appointed to the post of United Nations Deputy Secretary-General by Ban Ki-moon, the new United Nations Secretary-General from South Korea, on January 5, 2007
Degree au elimu ya juu zaidi ni added advantage. You don't loose anything by having a degree, but you are likely to face hurdles sometimes somewhere by not having it. So, yes, a degree/higher education may not automatically make you a good leader (no causal relationship here) but it is certainly a good predictor of success and performance in leadership and several other spheres.
My conclusion: It is only a foolish politician who will accept an advice that he/she doesn't need a degree at this material time!
My recommendation: Politicians if you still have time, go and get your good degree; you'll loose nothing by taking this step. It is to your own advantage to sacrifice some few years of vigelegele for this purpose.
FMES,Ndio mkuu, uzuri wa CCM tuna vichwa vingi sana, hatutegemei kiongozi mmoja tu, 2015 kuna wengi tu kina mama Kilango, Masha, Mama Migiro, Nape na wengineo wengi tu ambao watajitokeza in the process, ndio maana ya demokrasia, kwa hiyo si kweli kwamba itakuwa hao wawili tu uliosema mkuu,
Wako wengi na wote ni vichwa tupu!
United Nations-Muafaka upatikane kabla ya Uchaguzi mkuu!
`Muafaka baada ya uchaguzi haufai`
2008-07-20 13:02:52
Na Mwandishi Wetu
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Asha-Rose Migiro amesema utaratibu wa kutafuta muafaka baada ya uchaguzi mkuu, sio utamaduni unaopaswa kuendelezwa.
Badala yake amezitaka nchi za Afrika kujenga misingi imara ya demokrasia na kufanya chaguzi zilizo huru na haki ili kuepusha kupinga matokeo ya uchaguzi kunakosababisha kutumia muda mwingi na gharama kwenye mazungumzo ya usuluhishi wa migogoro inayotokea baada ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu.
Dk. Asha-Rose ambaye yupo nchini kwa mapumziko, alitoa ushauri huo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.
Alikuwa akijibu swali la mwanahabari aliyetaka kupata maoni ya UN iwapo inaunga mkono utamaduni unaoibuka sasa barani Afrika wa kukimbilia kutafuta muafaka baina ya wanasiasa wanaodaiwa kushindwa kwenye uchaguzi mkuu kwa njia ya hila na wapinzani wao.
``Huo sio utamaduni wa kuendelezwa, kinachotakiwa ni kujenga utaratibu wa kuwa na demokrasia na kuelimishana kijamii,`` alisema na kuongeza kuwa, ``dawa ni kujenga misingi imara ya demokrasia na baada ya uchaguzi, isiwe tena tunatumia muda mrefu kushughulikia matatizo yatokanayo na uchachguzi mkuu.``
Mwishoni mwa mwaka jana vyama vya ODM na PNU vya Kenya viliingia kwenye mgogoro wa uchaguzi mkuu ambao mgombea wa ODM Bw. Raila Odinga, alidai ameshinda na kuibiwa ushindi na mgombea wa PNU Rais Mwai Kibaki.
Hali hili ilisababisha mamia ya wananchi kupoteza maisha, wengine kujeruhiwa vibaya na kupoteza mali, kuwa wakimbizi nchini Uganda yote hayo yalitokana na kuzuka kwa vurugu na mapigano baada ya jamii mbalimbali zilizokuwa zinapinga ama kukubaliana na matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na kumpa ushindi Rais Mwai Kibaki ambaye alidaiwa na wapinzani kuwa hakushinda kihalali.
Baada ya vurugu hizo, wasuluhishi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa zamani wa UN Dk. Kofi Annan, Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) aliyemaliza muda wake Rais Ghana John Kufuor, mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Bi. Graca Machel ni miongoni mwa walishiriki katika kutafuta muafaka kati ya Rais Kibaki na mpinzani wake mkuu Bw. Raila Odinga.
Matokeo yao muafaka huo yalipelekea kuundwa kwa serikali ya mseto ambapo Bw. Odinga aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
Hali kadhalika, uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Zimbabwe hivi karibuni, umeibua hoja za kuanza mjadala wa usuluhishi baina ya Rais Robert Mugabe na mpinzani wake wa chama cha MDC Bw. Morgan Tsvangirai.
Kadhalika hali si shwari visiwani Zanzibar baina ya CUF na CCM ambapo CUF inadai ilipokonywa ushindi na CCM katika chaguzi zote za vyama na kumekuwa na milolongo ya mazungumzo ya mwafaka ambayo hayajawahi kukamilika.
Akizungumzia changamoto za UN, Dk. Asha-Rose alisema umoja huo unakabiliwa na tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta na chakula duniani hali ambayo ilimlazimu Katibu Mkuu Bw. Ban Ki Moon kuziomba nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani kuongeza uzalishaji huo.
Kuhusu chakula alisema Benki ya Dunia (WB) na Marekani zimekubali kutoa fedha kwa ajili ya kununua chakula kitakachopelekwa sehemu mbalimbali.
Alisema tayari Bw. Moon ameunda kikosi kazi ambacho kitaangalia mahitaji ya sasa ya chakula duniani na kwamba katika awamu ya pili umoja huo utaangalia namna ya kuwasaidia wakulima wadogo wadogo kupata mbolea na mbegu.
Alisema katika awamu ya tatu, suala litakalopewa kipaumbele ni kuboresha miundombinu ili kuwezesha kilimo na chakula kupatikana kwa wingi.
Alitaja changamoto zingine kuwa ni tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa, mazingira, ukimwi, malaria na tatizo la kusukuma maendeleo ambapo alisema ipo dira ya pamoja ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia.
Katika hatua nyingine, Dk. Asha-Rose amewataka Watanzania kushirikiana kwa pamoja katika kupeperusha bendara ya Tanzania nje ya nchi kwa kufanya kazi kwa bidii, kujenga demokrasia, amani na kusaidia nchi zingine.
Alisema haitaridhisha iwapo ataambiwa aiangalie Tanzania katika suala la amani iwapo kutakuwa na machafuko.
Pia aliwataka Watanzania kuchangamkia kujifunza lugha zaidi ya mbili iwapo wanataka kupata kwa urahisi nafasi za kazi katika ofisi ya UN.
``Tuendelee kujitahidi katika lugha, Watanzania na baadhi ya nchi zingine wasiotumia lugha ya Kifaransa hawana nafasi kubwa sana wanapoomba kazi wakishindana na wengine wanaojua lugha mbili ya Kifaransa na Kiingereza.
Aidha alisema baadhi ya watu hawana utamaduni wa kubahatisha katika kutafuta, kwa kuwa kazi za UN ni za mkataba na wengi wanahofia kuacha kazi zao na kwenda kwenye kazi za mkabata.
Naibu Katibu Mkuu huyo leo anatarajiwa kwenda Zanzibar kumsalimia Rais Aman Karume.
- SOURCE: Nipashe
jokaKuu,'FMES,
..wakati wa uteuzi wake kuna watu walimpiga madongo na kulalamika kwamba she was not qualified.
..wadau wa UN wanampa maksi gani kutokana na utendaji wake?
..pia sijui hapa Tanzania wanasiasa wenzake wanamchukulia namna gani. je anakubalika na wenzake?
NB:
..nadhani Dr.Tibaijuka anastahili kufikiriwa pia. yeye nafasi yake siyo ya kuteuliwa. ameomba kazi, akafanyiwa interview na kutokea mshindi.