Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,417
- 25,947
Hii ndoto utaota hadi lini,?Kikubwa akamuombe msamaha Tundu Antiphas Lissu maana ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025!!
Lisu kamwe hawezi kuwa rais wa nchi hii
Hii ndoto utaota hadi lini,?Kikubwa akamuombe msamaha Tundu Antiphas Lissu maana ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025!!
Hivi bado ni mshauri mkuu wa Simba?Japo Mimi ni mwana Simba SC kama Yeye ( Mpuuzi ), ila hakuna Jambo lililoniuma kama la kwenda Sea View Kuzoa Bilioni Tatu za Yusuph Manji.
Wewe unachukulia poa wizara ya Ulinzi eh? Ile wizara hawapewi watu wa hovyo hovyo kama Bashiteaah wapi... huyu lazima atarejeshwa na baba mtu kwa mlango wa uani.
kama hatakuwa RC wa Dar tena au Arusha basi atagewa uwaziri Home Affairs au Defence.
trust me. ain't start partying....yet.
chini ya awamu hii lolote linawezekana comrade!Wewe unachukulia poa wizara ya Ulinzi eh? Ile wizara hawapewi watu wa hovyo hovyo kama Bashite
Ok sawa mzeeJidanganye / Jidanganyeni tu.
Tukutane October 2020Hii ndoto utaota hadi lini,?
Lisu kamwe hawezi kuwa rais wa nchi hii
Magufuli oyeeeeeeTukutane October 2020
Ni yeye #TunduLissuMagufuli oyeeeeee
Kuna Watu ( Members ) hapa JF niliposema kuwa huyu 'Mpuuzi' muda wowote kuna 'Mashtaka' atayajibu na 'atafilisiwa' mazima tu hawakunielewa.
Ni yeyeNi yeye #TunduLissu
Sikiliza mwana Lumumba. Magufuli hashindiiiiii. Raisi wako 2020 - 2025 ni Tundu Antiphas Lissu!!Ni yeye
Magufuli
Tunampa miaka mitano ya ubabe na unyooshaji wa nchi
Tundu Anthipas Lissu atakuwa Rais wa Watanzania wanaoishi nchi UbelgijiSikiliza mwana Lumumba. Magufuli hashindiiiiii. Raisi wako 2020 - 2025 ni Tundu Antiphas Lissu!!